Mwanafalsafamweusi
Member
- Jun 4, 2019
- 14
- 23
Kwani huyo Haji Manara akimtoa Mbowe atakuwa anawajaza fedha mifukoni!Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?
"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.
HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi
October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.
Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
Yupo Kijana mwingineMbunge wa Hai 2020 ni Jerry Murro kupitia CCM
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
PKiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?
"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.
HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi
October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.
Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
Mbowe atashinda kura nyingi atavunja historia ya mbeyaKwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?
"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.
HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi
October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.
Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
Lamli chonganishi hatuiitakiMbunge wa Hai 2020 ni Jerry Murro kupitia CCM
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com PKiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
Anataka kupandishwa cheo huyu. Of course kama CCM wasingekuwa wanaiba kura na kutumia polisi wasingeshinda hata 20% ya viti vya bunge. Wepesi kuliko hewa.Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?
"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.
HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi
October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.
Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
una akili timamu ? kwanza nakuhakikishia kwamba Huyo Sabaya hatakuwepo Hai wakati wa uchaguzi huo , usiniulize atakuwa wapi , Kingine ni kwamba Mbowe atashinda Hai hata kama Magufuli atakuwa mgombea ubunge wa ccm HaiKwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?
"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.
HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi
October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.
Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
Demokrasia ni mfumo unaoleta maelweano katika jamii katika masuala yote ya maisha na uongozi. Kinachoendelea kwa sasa ni ubakajinwa demokrasia ambapo wahuni wanajipa ushindi kwa njia sisizo za kidemkrasia. Uhuni huu ndio unaowafahya wananchi wafanye ya SudaniKwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?