Mbowe atajwa kuwa kiongozi bora wa upinzani Afrika

Japhet Kirilo, Mtanganyika wa kwanza kuhutubia UNO kudai Uhuru wa Tanganyika. Hao akina FaizaFoxy, Ritz, na makuwadi wao wanajifanya hamnazo.

Kirilo hakwenda UN kudai Uhuru wa Tanganyika, rudia tena historia yako. Usijidanganye.

kama haujuwi alichokwenda kudai wacha wenye kuelewa historia wakupe darsa. Usikurupuke.
 
Shirika la kutetea haki za binadamu la human right watch limemtaja kiongoz wa upinzan Mh Freeman Mbowe kuwa ni mwenyekiti wa kwanza Africa wa chama asiyepokea mshahara ndan ya chama chake na pia ametajwa kuwa ni kiongozi aliyeleta mageuzi makubwa ya kisiasa Tanzania na anayeendesha shughuli za kisiasa pasipo kuvunja haki za binadamu.

Chanzo: CNN

Hapokei mshahara lakini wamesahau kuwa anakiuzia chama fuso mbili chakavu kwa millioni 600, bei ya fuso 20 chakavu.

Wameshau kuwa analamba mshahara na marupurupu ya bungeni.

Wamesahau kuwa anachangisha kwenye mabakuli misukule wenzake na fedha anaamuwa yeye Slaa na Josefina zitumike vipi.

Cheza na mchagga wewe?
 
Tukiwa na vyama 19 vyenye usajili wa kudumu, ni Freeman Mbowe anayeibuka na kubaki kuwa Mwenyekkiti bora kupita wote. Ubora wa Mbowe unaonekona katika yafuatayo:
1. Kuwa na kauli zenye ushawishi na staha azungumzapo.
2. Hufanya marejeo kwa kumbukumbu sahihi anapojenga hoja.
3. Hueshimu mawazo ya wenzake katika Chama
4. Amewatengeneza viongozi wengi na kuwajenga waliopo.
5. Ni mtu wa mikakati na kuheshimu wanamkakati ndani ya CHADEMA.
6. Ni kiongozi anayewapinga viongozi wa CCM kwa hoja na si dharau na matusi.
7. Anajali uhai na maisha ya watanzania, ndiyo maana kipa mara katika maandramano ambayo Polisi walikusudia kuumiza watu, Mbowe hakusita kusimamisha ili watanzania wale wenye uchungu na nchi yao wasidhurike.
8. Anapendwa na kupendeka.

Leo ukisema wenyeviti wa vyama vya siasa nchini watoe hotuba japo kwa dakika 10 tu, masikio ya wengi yatataka kusikia Freeman atasema nini mioyo ifarijike.
 
Mbowe ni mwenyekiti bora na mwenye mikakati ya ovyo kupita wengne maana anabadili katiba ili awe mwenyekiti wa kudumu hapo chadema

Mipango ni pamoja na kuwaachia wengine waongoze jahazi
 
Ubora wake ni kuwatengenezea mazengwe hata njama za kuwauwa wale anaodhani watachuakua cheo chake cha uenyekiti?
 
20160422_044447.jpg
 
Back
Top Bottom