Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
Kila mtu huko lumumba amepewa huu ----- kuja kupost humu?? kweli ccm maji ya shingo....na bado
 
Moderator kama watu wengine nao wana milengo yao. Lakini Moderator wakiachia upuuzi kama huu nao wanakuwa zaidi ya wapuuzi.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wanaitaji kiongozi wa vitendo, mzalendo na mwenye hekima na sio anaetanguliza kuligawa Taifa kwa udini.
 

Wewe ni kifutu
 
Wakuombwa msamaha awe Dr.Slaa kweli!?, na mwombaji wa msamaha awe mbowe!!!!?.Hii itakuwa moja ya maajabu ya DUNIA.

Mkuu huyu aliye leta uzi ni mgonjwa wazimu msamehe
 
hata kama ukawa wangeweka mti, tungeupigia kura....... ccm tuacheni na LUWASSA wetu. mwaka huu mtaisoma namba
 
Propaganda zingine hazina kichwa wala miguu kweli UKAWA inawapeleka puta ccm
 

Endeleeni na Propaganda lakini nimefanya maamuzi ya kudumu kuwa Mimi na familiya yangu tutabaki UKAWA hadi kieleweke.



MIZAMBWA
INANIMA SANA!!!
 
Watu wengine kwa kuchafua hewa hawajambo. Maccm mtaabika sana wiki ya tatu mwezi ujao.

Sasa hayali yakashiba kisa lowasa maana yanajua ndio mwisho wao wa kuiba maliasili za taifa na yataozea segerea
 
kwahiyo unataka tufanyeje yani
..........hata usemeje ccm lazima mwaka huu tuiadhibu vikali
 
Punda anakarbia kufa lowassa mabadilikoooooo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…