Mbowe anavyojiosha Bungeni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe anavyojiosha Bungeni...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Jul 14, 2011.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Katika kipindi cha maswali na majibu kwa waziri Mkuu leo bungeni, Mbowe alisema viongozi wa upinzani wanajitahidi sana kuzuia watu kufanya maandamano kwa ajili ya umeme.

  Kuna ukweli jamani, wakati chadema inajulikana kwa maandamano?
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  crap! Delete post yako haina tija!
   
 3. n

  ngarauo Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio chadema wanapenda mandamano ni wananchi wanaopenda mandamano kudai haki zao za msingi zinazozulumiwa na magamba magamba kila kona ya nchi hii safari hii paka kieleweke
   
 4. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tukuulize wewe mleta hoja, japo unaonekana kumponda Mbowe lakini mbona wananchi tunatamani kufanya maandamano kwaajili ya umeme? Au wewe mgao huu haukugusi? Basi ni hitimishe tu kwakusema kuna ukweli tena tunawashangaa viongozi wa vyama vya upinzani kuchelewa kuhamasisha wananchi kuibana serikali na chama tawala juu ya swala la umeme
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Crackpot
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  leta yako yenye tijaa
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  wacha kupost upepo huku ww
   
 8. a

  ajabu Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  naona anataka kusema wapinzani wanajizuiya kuitisha maandamano hahaha
   
 9. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hebu wana jamvi tuwe na mawazo mapya!tuachane na ushabiki!huu mgao wa umeme unatuumiza mbaya!unadhani CDM wangeitisha maandamano nchi nzima wangekosa wafuasi?kila m TZ anaguswa na hili la umeme.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo, kaanza kuandamana hapahapa.
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Yaani hukubali kuwa Mbowe kayaseema hayo au vipi?
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hujaisoma post yangu vizuri naomba rudia.
   
 13. L

  Ledio Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pepo mchafu tokaaa
   
 14. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  hapa kunakuchanganyana wajamen
   
 15. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Saaafi anajifanya anaishi vizuri wakati ana shida mwili mzima.
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hivi maandamano ndio yataleta umeme?

  Nawashangaa vyama vya upinzani, kuhusu hili la umeme, hii ilikuwa turufu kwao, kuongea na wafadhili wao wa nje wawaletee mitambo ya umeme haraka haraka, wawaoneshe wananchi kuwa wao wanaweza walichoshindwa Serikali, badili yake wanahaha kwa makelele yasio na tija.

  Sheria zimebadilishwa na yeyote awezae kuzalisha umeme na alete, au hilo hawalijui? Kama wanalijua wanangoja nini? Au wamejaribu wakaona pagumu?
   
 17. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,315
  Trophy Points: 280
  Maandamano muhimu.
   
 18. i

  in and out Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumemsikia mkuu akijiosha kwa muheshimiwa, eti wao ndio huwa wanawaziwia wanainchi wasiandamane, anachekesha kweli!!!!
   
 19. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  aisee mie ninayatamani hayo maaandamano ile mbaya....kila siku siachi kumwomba Mungu ili viongozi wetu waitishe maandamano maana tumeichoka serikali ya kise..n,..ge ya huyu m..k..we...re
   
 20. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  LA UMEME?Mie muoga wa virungu sembuse risasi...Ila hapa ntaandamana na bango langu ntaandika"MGAO SAWA IKULU,BUNGENI NA MANZESE"hawajali maana hawajui mgao ni nini. Na watumie pesa zao za mfukoni kwa majenereta!
   
Loading...