Mm naona anaenda nje ya hoja za msingi na hii ndio tatizo la mbowe masuala ya bunge la katiba ni kule kule c huku hapa tunataka alete nondo za maana,ninacho kiona hapa malumbano matupu tuu
Elimu baba!! Viongozi wa magamba wengi ni wa enzi za telex na p o box. I Pad ni msemo tata kwao.Kwani mgamba yanashidwa kununua IPAD .?!?😕
hivi ili bunge la katiba, la uchaguzi au la bajeti, mbona mh. mboye ajazungumzia kabisa kuhusu BAJETI, NAMSIKIA AKIZUNGUMZIA DAFTARI LA WAPIGA KURA NA KATIBA TUU,, AU NI UELEWA WA BAJET HANA COZ BAJET NDIO MAISHA YETU HUKU MTAANI,
Mimi sijaelewa mambo ya katiba yamefikaje hapo juu ya kinachojadiliwa??
magamba mnaugonjwa wa kuelewa kwa hiyo wewe kaa hivyo hivyo mtaelewa baadaeMimi sijaelewa mambo ya katiba yamefikaje hapo juu ya kinachojadiliwa??
Mimi sijaelewa mambo ya katiba yamefikaje hapo juu ya kinachojadiliwa??
hebu weka hizo hoja za msingi anazotakiwa kuzijadili? au anaongea kitu ambacho hupendi kukisikia?Namsikiliza hana hoja na maneno tuu ivi hajui kuwa tumechoka na maneno ya kutisha tisha hakuna watoto hapa,
Mara watasusia uchaguzi hawa jamaa wanaakili ya uchaguzi tuu yaani madaraka ndio ajenda vichwani mwao na hawana jipya watakalolifanya fursa kama ndio hizi basi tumechemka
Mbowe hana jipya kabisaa na ndio kukaribisha malumbano maana anaowaataki hawawezi kukaa kimya watajibu kwann asiende kwenye hoja kama za msingi ni uchaguzi madaraka
hivi ili bunge la katiba, la uchaguzi au la bajeti, mbona mh. mboye ajazungumzia kabisa kuhusu BAJETI, NAMSIKIA AKIZUNGUMZIA DAFTARI LA WAPIGA KURA NA KATIBA TUU,, AU NI UELEWA WA BAJET HANA COZ BAJET NDIO MAISHA YETU HUKU MTAANI,
Kwani mgamba yanashidwa kununua IPAD .?!?😕
Namsikiliza hana hoja na maneno tuu ivi hajui kuwa tumechoka na maneno ya kutisha tisha hakuna watoto hapa,
Mara watasusia uchaguzi hawa jamaa wanaakili ya uchaguzi tuu yaani madaraka ndio ajenda vichwani mwao na hawana jipya watakalolifanya fursa kama ndio hizi basi tumechemka
Mbowe hana jipya kabisaa na ndio kukaribisha malumbano maana anaowaataki hawawezi kukaa kimya watajibu kwann asiende kwenye hoja kama za msingi ni uchaguzi madaraka
mkuu embu niambie nini ameongea hapo cha maana, sana anajitetea kutoka kwao nje, anasema daftari la wapiga kura liboreshwe kama rasimu ilivyoelekeza chakushanga ambikiikimbia rasimu sasa hayo mapendekezo nani atayatetea tena????[/QUOTEImewaumeni sana kawachaneni na tbccm yenu
Jussa mwenyewe ni mbaguzi, kwa nini asibaguliwe? Mbowe amekosa weledi kabisaFreeman Mbowe:Kauli ya wana CCM kuwa Jussa sio raia ni ya kibaguzi na inapaswa kulaaniwa maana inajenga chuki"