Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,864
Anamchana Kikwete na Ccm kwanba ktk kundi la 201 ameteua wajumbe 161 ambao ni makada na viongozi wa Ccm.

Anasema bajeti ya mchakato wa katiba haiawahi kujulikana bungeni ktk bajeti ya mwaka jana na hii.

Anasema UKAWA hawatarejea kushiriki kupitisha hila za Ccm.

Updates: Anamchana makamu wa pili wa Zanzibar kwa maneno yake kwamba Jussa si raia kwa vile ana asiri ya kihindi.

Anasema Ccm wanaendeleza kauli za kibaguzi na matusi kwa viongozi wa upinzani bila kujali nchi inaweza kuingia kwenye machafuko

Updates: Anatabiri nchi kuingia kwenye machafuko mwakani ikiwa uchaguzi utafanyika chini ya katiba hii.

Anasema hawatakubali daftari jipya kama halitawashirikisha kutoa maoni yao.

Updates: Anasema pamoja na Waziri mkuu kulitangazia taifa kutofanyika mwaka huu kambi ya upinzani inajua kwamba maandalizi ya uchaguzi unaendelea.

Updates:
Anasema tume ya uchaguzi inashirikiana na Ccm kuhujumu wananchi kukosa haki ya kupiga kura.

Anasema Ccm inasajiri wapiga kura kwa kificho na inafanywa na mabalozi wa Ccm wala si NIDA au tume ya uchaguzi

Updates:
Anasema kuna mchakato unaendelea wa Biometric na mpango huo ni wa kifisadi maana unafanywa na vigogo wa serikali na familia zao
Updates:
Kuna hali ya hatari ilitangazwa Mtwara na haikutangazwa na rais na inawabana wapinzani kufanya siasa huko lakini Ccm inaruhusiwa!

Anasema Ccm wanasema serikali 3 ni gharama wanataka kutangaza kata ya Mbagala kuwa Wilaya!

Updates: Anaichana TBC kwa kukutisha matangazo wakati Lissu akisoma maoni ya wachache BMK. Anasema wana taarifa waziri wa habari ndo alitoa amri ya kukatisha matangazo

Upadets:
Anamchana Muhongo kwa kauli yake kwamba watanzania wanapaswa kuwekeza kwenye juice kwamba ni kauli ya dharau na alipaswa kuwajibishwa.
 
naona anandeleza ulaghai tu, hamna chochote anachosema zaidi ya kuvumisha neno ccm. kila baada ya maneno kumi kuna neno ccm, ccm ccm.
 
Anamchana Kikwete na Ccm kwanba ktk kundi la 201 ameteua wajumbe 161 ambao ni makada na viongozi wa Ccm.

Anasema bajeti ya mchakato wa katiba haiawahi kujulikana bungeni ktk bajeti ya mwaka jana na hii.

Anasema UKAWA hawatarejea kushiriki kupitisha hila za Ccm.

Updates: Anamchana makamu wa pili wa Zanzibar kwa maneno yake kwamba Jussa si raia kwa vile ana asiri ya kihindi.

Anasema Ccm wanaendeleza kauli za kibaguzi na matusi kwa viongozi wa upinzani bila kujali nchi inaweza kuingia kwenye machafuko
Kamanda anatumia IPAD so makaratasi kama MAGAMBA,watatuelewa tuu siku sio nyingi.
 
Mm naona anaenda nje ya hoja za msingi na hii ndio tatizo la mbowe masuala ya bunge la katiba ni kule kule c huku hapa tunataka alete nondo za maana,ninacho kiona hapa malumbano matupu tuu
 
naona anandeleza ulaghai tu, hamna chochote anachosema zaidi ya kuvumisha neno ccm. kila baada ya maneno kumi kuna neno ccm, ccm ccm.

mkuu wahii hospital una dalili za gonjwa la denge
 
dah! yupo hapa namfwatilia anawachana kichizi yaani...

mkuu embu niambie nini ameongea hapo cha maana, sana anajitetea kutoka kwao nje, anasema daftari la wapiga kura liboreshwe kama rasimu ilivyoelekeza chakushanga ambikiikimbia rasimu sasa hayo mapendekezo nani atayatetea tena????
 
Mm naona anaenda nje ya hoja za msingi na hii ndio tatizo la mbowe masuala ya bunge la katiba ni kule kule c huku hapa tunataka alete nondo za maana,ninacho kiona hapa malumbano matupu tuu
Hapo ndipo pakusemea kwa maana sarikali ndipo IPO hapo.
 
mkuu embu niambie nini ameongea hapo cha maana, sana anajitetea kutoka kwao nje, anasema daftari la wapiga kura liboreshwe kama rasimu ilivyoelekeza chakushanga ambikiikimbia rasimu sasa hayo mapendekezo nani atayatetea tena????
yaani hauoni cha maana anachozungumza? we ile budget yote ya Bunge maalum la Katiba kumbe hata haija idhinishwa na Bunge la JMT, gharama kubwa lakini hakuna kinachofanyika, mabilioni ya hela mengi yanapotea bila hata ya budget...

au we hoja zako za msingi ni zipi?
 
Back
Top Bottom