Mbowe amtaka Meya wa jiji la Arusha kuonyesha utofauti na wakati CCM ikitawala

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Meya wa jiji la Arusha ametakiwa kuonyesha utofauti na wakati wa halmashauri hiyo ilipokuwa chini ya CCM.

Hayo yamesemwa na Mwenyenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe alipokutana na Meya wa jiji la Arusha, Mhe. Kalist Lazaro, na weheshimiwa wabunge na madiwani kutoka Arusha.

Amewataka kuonyesha tofauti kubwa wakati halmashauri hiyo ikiwa chini ya CCM, kwa kuleta maendeleo na kununi vyanzo vipya vya mapato ili kuinua uchumi wa jiji hilo.

"Tukae tushirikiane na wananchi wote katika kuleta maendeleo, hakikisheni mnatetea wananchi, wameamini wakawapa dhamana ya kuwaongoza wakiamini nyie ndio watetezi wao, shirikianeni nao, sikilizeni kero zao, ili muweze kuzitatua kwa pamoja kwa kuwashirikisha " amesema Mhe. Mbowe.

Aidha amempongeza Meya kwa kuongeza mapato kutoka Shilingo milioni 800 hadi Bilioni 1.5 kwa mwezi, amemtaka waendelee kubuni miradi na kukusanya kodi kikamilifu lakini kuangalia kodi zile ambazo hazimbani mwananchi ili kila mmoja aweze kufaidika sio kuacha wengine wakiminywa.

Kuhusu Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (UKUTA), Mhe. Mbowe amesisitiza isidhaniwe kwamba ni utani amesisitiza lengo lipo pale pale, Maandamano na Mikutano nchi nzima ifikapo Septemba Mosi, 2016, Maandamano yapo kwa mujibu wa Katiba ambayo Rais aliapa kuilinda na kuitetea, Chama cha siasa uhai wake upo kwenye mikutano ya kisiasa.

Amesisitiza maandalizi yanaendelea vizuri, kuanzia ngazi ya Taifa,Kanda, Mkoa, Wilaya, Kata na Kaya.

"Haiwezekani nchi ikaongozwa kwa amri za mtu mmoja, hakuna mtu aliye juu ya sheria, sheria lazima zifuatwe, sheria tumezitunga wenyewe lazima tuziheshimu, hivyo hapa mbele ya waandishi muwapashe habari Watanzania adhma yetu ipo pale pale" ameongeza.
 
Attachments

  • IMG-20160810-WA0070.jpg
    IMG-20160810-WA0070.jpg
    80.5 KB · Views: 49
  • IMG-20160810-WA0072.jpg
    IMG-20160810-WA0072.jpg
    88.1 KB · Views: 70
Utofauti wa huyu meya wa UKAWA ni kutunyang'anya vibanda vyetu tulivyotumia kwa miaka 30 iliyopita..na kujipandishia posho za madiwani kifisadi, . Haya ndio mabadiliko mliyotuahidi ???

Kwa kweli wana Arusha tunajuta kuchagua wapiga dili Chadema.
 
Mlikua mnaendesha Jiji la Arusha Kifisadi sana japo si mkazi meuza open space zote vibanda mlikua hamlipi kodi diwani wa ccm wa moshi makoi ndio alikua anajipatia pesa hapo ameshindwa kwenye mahakama zote poleni ccm Arusha
 
Utofauti wa huyu meya wa UKAWA ni kutunyang'anya vibanda vyetu tulivyotumia kwa miaka 30 iliyopita..na kujipandishia posho za madiwani kifisadi, . Haya ndio mabadiliko mliyotuahidi ???

Kwa kweli wana Arusha tunajuta kuchagua wapiga dili Chadema.
Nimekuhurumia sana !
 
Meya wa jiji la Arusha ametakiwa kuonyesha utofauti na wakati wa halmashauri hiyo ilipokuwa chini ya CCM.

Hayo yamesemwa na Mwenyenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe alipokutana na Meya wa jiji la Arusha, Mhe. Kalist Lazaro, na weheshimiwa wabunge na madiwani kutoka Arusha.

Amewataka kuonyesha tofauti kubwa wakati halmashauri hiyo ikiwa chini ya CCM, kwa kuleta maendeleo na kununi vyanzo vipya vya mapato ili kuinua uchumi wa jiji hilo.

"Tukae tushirikiane na wananchi wote katika kuleta maendeleo, hakikisheni mnatetea wananchi, wameamini wakawapa dhamana ya kuwaongoza wakiamini nyie ndio watetezi wao, shirikianeni nao, sikilizeni kero zao, ili muweze kuzitatua kwa pamoja kwa kuwashirikisha " amesema Mhe. Mbowe.

Aidha amempongeza Meya kwa kuongeza mapato kutoka Shilingo milioni 800 hadi Bilioni 1.5 kwa mwezi, amemtaka waendelee kubuni miradi na kukusanya kodi kikamilifu lakini kuangalia kodi zile ambazo hazimbani mwananchi ili kila mmoja aweze kufaidika sio kuacha wengine wakiminywa.

Kuhusu Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (UKUTA), Mhe. Mbowe amesisitiza isidhaniwe kwamba ni utani amesisitiza lengo lipo pale pale, Maandamano na Mikutano nchi nzima ifikapo Septemba Mosi, 2016, Maandamano yapo kwa mujibu wa Katiba ambayo Rais aliapa kuilinda na kuitetea, Chama cha siasa uhai wake upo kwenye mikutano ya kisiasa.

Amesisitiza maandalizi yanaendelea vizuri, kuanzia ngazi ya Taifa,Kanda, Mkoa, Wilaya, Kata na Kaya.

"Haiwezekani nchi ikaongozwa kwa amri za mtu mmoja, hakuna mtu aliye juu ya sheria, sheria lazima zifuatwe, sheria tumezitunga wenyewe lazima tuziheshimu, hivyo hapa mbele ya waandishi muwapashe habari Watanzania adhma yetu ipo pale pale" ameongeza.
Safi sana. Sasa hizi ndio siasa si uadui na malumbano
 
Utofauti wa huyu meya wa UKAWA ni kutunyang'anya vibanda vyetu tulivyotumia kwa miaka 30 iliyopita..na kujipandishia posho za madiwani kifisadi, . Haya ndio mabadiliko mliyotuahidi ???

Kwa kweli wana Arusha tunajuta kuchagua wapiga dili Chadema.
Kwanini msiwashauri jiji pajengwe shopping mall.Hila mmetumia hivyo vibanda miaka 30 bado mnalia lia ajabu sana.
 
Utofauti wa huyu meya wa UKAWA ni kutunyang'anya vibanda vyetu tulivyotumia kwa miaka 30 iliyopita..na kujipandishia posho za madiwani kifisadi, . Haya ndio mabadiliko mliyotuahidi ???

Kwa kweli wana Arusha tunajuta kuchagua wapiga dili Chadema.

Na vile vile Watanzania wanajuta kuichagua ccm, kwakuwa maisha yamekuwa magumu kila kona.
 
Meya wa jiji la Arusha ametakiwa kuonyesha utofauti na wakati wa halmashauri hiyo ilipokuwa chini ya CCM.

Hayo yamesemwa na Mwenyenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe alipokutana na Meya wa jiji la Arusha, Mhe. Kalist Lazaro, na weheshimiwa wabunge na madiwani kutoka Arusha.

Amewataka kuonyesha tofauti kubwa wakati halmashauri hiyo ikiwa chini ya CCM, kwa kuleta maendeleo na kununi vyanzo vipya vya mapato ili kuinua uchumi wa jiji hilo.

"Tukae tushirikiane na wananchi wote katika kuleta maendeleo, hakikisheni mnatetea wananchi, wameamini wakawapa dhamana ya kuwaongoza wakiamini nyie ndio watetezi wao, shirikianeni nao, sikilizeni kero zao, ili muweze kuzitatua kwa pamoja kwa kuwashirikisha " amesema Mhe. Mbowe.

Aidha amempongeza Meya kwa kuongeza mapato kutoka Shilingo milioni 800 hadi Bilioni 1.5 kwa mwezi, amemtaka waendelee kubuni miradi na kukusanya kodi kikamilifu lakini kuangalia kodi zile ambazo hazimbani mwananchi ili kila mmoja aweze kufaidika sio kuacha wengine wakiminywa.

Kuhusu Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (UKUTA), Mhe. Mbowe amesisitiza isidhaniwe kwamba ni utani amesisitiza lengo lipo pale pale, Maandamano na Mikutano nchi nzima ifikapo Septemba Mosi, 2016, Maandamano yapo kwa mujibu wa Katiba ambayo Rais aliapa kuilinda na kuitetea, Chama cha siasa uhai wake upo kwenye mikutano ya kisiasa.

Amesisitiza maandalizi yanaendelea vizuri, kuanzia ngazi ya Taifa,Kanda, Mkoa, Wilaya, Kata na Kaya.

"Haiwezekani nchi ikaongozwa kwa amri za mtu mmoja, hakuna mtu aliye juu ya sheria, sheria lazima zifuatwe, sheria tumezitunga wenyewe lazima tuziheshimu, hivyo hapa mbele ya waandishi muwapashe habari Watanzania adhma yetu ipo pale pale" ameongeza.

Kuna haja gani ya kusisitiza kama mtu unajiamini unasubiri tarehe tajwa hapo juu wanaume mnaingia. Barabarani
 
Picha zinaleta mvuto sana hizi

Kiukweli najiskia mwenye bahati kuchagua upande wa chadema

Nilimuhurumia sana mbowe 2005 alivokuwa anazunguka na chopa
Lkn nilitokea kumuelewa sana,

Brother ana moyo wa uvumilivu sana
 
Utofauti wa huyu meya wa UKAWA ni kutunyang'anya vibanda vyetu tulivyotumia kwa miaka 30 iliyopita..na kujipandishia posho za madiwani kifisadi, . Haya ndio mabadiliko mliyotuahidi ???

Kwa kweli wana Arusha tunajuta kuchagua wapiga dili Chadema.
Nyoko wewe, malaya mkubwa wewe mara upo Dar es salaam mara upo arusha....
 
Meya wa jiji la Arusha ametakiwa kuonyesha utofauti na wakati wa halmashauri hiyo ilipokuwa chini ya CCM.

Hayo yamesemwa na Mwenyenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe alipokutana na Meya wa jiji la Arusha, Mhe. Kalist Lazaro, na weheshimiwa wabunge na madiwani kutoka Arusha.

Amewataka kuonyesha tofauti kubwa wakati halmashauri hiyo ikiwa chini ya CCM, kwa kuleta maendeleo na kununi vyanzo vipya vya mapato ili kuinua uchumi wa jiji hilo.

"Tukae tushirikiane na wananchi wote katika kuleta maendeleo, hakikisheni mnatetea wananchi, wameamini wakawapa dhamana ya kuwaongoza wakiamini nyie ndio watetezi wao, shirikianeni nao, sikilizeni kero zao, ili muweze kuzitatua kwa pamoja kwa kuwashirikisha " amesema Mhe. Mbowe.

Aidha amempongeza Meya kwa kuongeza mapato kutoka Shilingo milioni 800 hadi Bilioni 1.5 kwa mwezi, amemtaka waendelee kubuni miradi na kukusanya kodi kikamilifu lakini kuangalia kodi zile ambazo hazimbani mwananchi ili kila mmoja aweze kufaidika sio kuacha wengine wakiminywa.

Kuhusu Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (UKUTA), Mhe. Mbowe amesisitiza isidhaniwe kwamba ni utani amesisitiza lengo lipo pale pale, Maandamano na Mikutano nchi nzima ifikapo Septemba Mosi, 2016, Maandamano yapo kwa mujibu wa Katiba ambayo Rais aliapa kuilinda na kuitetea, Chama cha siasa uhai wake upo kwenye mikutano ya kisiasa.

Amesisitiza maandalizi yanaendelea vizuri, kuanzia ngazi ya Taifa,Kanda, Mkoa, Wilaya, Kata na Kaya.

"Haiwezekani nchi ikaongozwa kwa amri za mtu mmoja, hakuna mtu aliye juu ya sheria, sheria lazima zifuatwe, sheria tumezitunga wenyewe lazima tuziheshimu, hivyo hapa mbele ya waandishi muwapashe habari Watanzania adhma yetu ipo pale pale" ameongeza.
Ni kweli hata kule hai tumeona tofauti wamepiga hela mpk halmashauri ikapata hati chafu
 
Utofauti wa huyu meya wa UKAWA ni kutunyang'anya vibanda vyetu tulivyotumia kwa miaka 30 iliyopita..na kujipandishia posho za madiwani kifisadi, . Haya ndio mabadiliko mliyotuahidi ???

Kwa kweli wana Arusha tunajuta kuchagua wapiga dili Chadema.
Haaaa, pole uliowachagua hawakushinda, wanaofanya biashara kwenye vibanda wamefurahia sana madalali kunyang'anywa, mlikuwa mnawakodishia kwa shilingi laki tano halafu halmashauri mnalipa laki moja na ishirini bila hata aibu?! Sasa wanalipa kodi halali chini ya chadema hakuna ujanjaujanj. Huko mbeya haya yamewakuta na waziri mkuu ameyapinga kabisa, mfanyabiashara apewe kizimba sio madalali.
 
Back
Top Bottom