Mbowe ampa mtihani Tendwa

Joseph Kaluse

Member
Feb 26, 2012
7
0
Mh Mbowe ampa msajili wa vyama mtihani amtaka asemee kitendo cha CCM kutumia zaidi ya milioni 220 katika uchaguzi wa mbunge aliye pendekezwa kupeperusha bendera ya CCM. asema CHADEMA imetumia milioni 6 na laki mbili.

Aonya jeshi la polisi awataka wasipigishwe kwata na CCM waiachie CHADEMA na CCM wadundane wenyewe. Nassari naye amwaga cheche maelfu ya wananchi waahidi kumchagua.
 
si umesikia mwugulu ameshakana, ni kawaida yao kukataa ila ukweli unbaki palepale
 
Naungana na kauli ya Mh. Mbowe ya kutotaka ruzuku ya serikali bali wanachama wake wachangie.

Hii iwe changamoto ruzuku zote kwa vyama vya siasa zifutwe na pesa hizo zitumike kwa mambo mengine ya maendeleo ya wananchi.
 
Mh Mbowe ampa msajili wa vyama mtihani amtaka asemee kitendo cha CCM kutumia zaidi ya milioni 220 katika uchaguzi wa mbunge aliye pendekezwa kupeperusha bendera ya CCM. asema CHADEMA imetumia milioni 6 na laki mbili.

Aonya jeshi la polisi awataka wasipigishwe kwata na CCM waiachie CHADEMA na CCM wadundane wenyewe. Nassari naye amwaga cheche maelfu ya wananchi waahidi kumchagua....

Ushahidi uko wapi jamabi acheni kushabikia pumba
 
Naungana na kauli ya Mh. Mbowe ya kutotaka ruzuku ya serikali bali wanachama wake wachangie.

Hii iwe changamoto ruzuku zote kwa vyama vya siasa zifutwe na pesa hizo zitumike kwa mambo mengine ya maendeleo ya wananchi.
Thubutu............Kakwambia nani Mbowe hataki ruzuku
Alicho sema mbowe ni kwamba ruzuku yao hawataitumia kwenye kugaramikia uchaguzi
Zitakuwa za kulipana posho za za safari nk

Unacheza na wanasiasa wewe, huyu huyu alikataa gari na nyumba ta serikali baadae kaona ubwege akavirudia mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom