kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania Daima, Mwananchi
Source: Tanzania Daima, Mwananchi
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Aikael Mbowe amemkaribisha rasmi Edward Lowassa kwenye chama hicho.
Amesema CHADEMA ni chama cha watanzania wote, ameongeza kusema kuwa mgombea yeyote atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa rais.
Chanzo: Habari Magazetini.