Mbowe amewadhulumu walemavu

Mmmh! Nahama chadema.

Mbowe ana Elimu ya darasa la 7 lakini anaburuza hata member wasomi wa Jamii Forums.
ha ha ha nahisi umeona labda utaungwa mkono kapewe kadi ya kijani mkuu tangulia labda tutakukuta asee,
 
ila hawamu hii mtatumwa wengi nawashauri mfungue macho mfikirie nnje ya box.
 
Ha ha ha ha nimecheka sana uliposema, "Labda ulemavu wa huyu Shoree, unaujua Mbowe mwenyewe" maana hauonekani kwa macho!
 
Hawa ni mainzi wa kijani waliomuua kamanda Mawzo na Ben Saanane akili zao zimekaa kikabila tu kiufitina,kijinsia,uchumi unaporomoka na bajeti Yao hiyo hewa ya kila siku
 
Mmmh! Nahama chadema.

Mbowe ana Elimu ya darasa la 7 lakini anaburuza hata member wasomi wa Jamii Forums.
Na anavyowapelekesha hakuna humu hata mmoja atakayejaribu kulaani kitendo hiki,sana sana watashuka na matani ya matusi kwa mleta uzi huu! Ndio maana wakaitwa "Misukule".
 
Upuuzi, nani kasema na imeainishwa wapi kuwa ubunge wa AFRICA MASHARIKI una kipaumbele kinachosema "UPENDELEO MAALUM / MAKUNDI MAALUM"
Ms Macha (MUNGU amrehemu) hakupata ubunge kwa upendeleo au kubebwa, bali jitihada na juhudi zake ndizo zilizomfanikishia yote..
 
hahahaha hiyo picha, duh!
 
Umeongea maelezo marefu ila nasikitika kusema kuwa hujui utaratibu. Yaani umekurupuka kuandika.

Ingekuwa mwajiri wako ni Angellah Kairuki, ungepata nafasi ktk uongozi kwa vile unajua kusoma na kuandika. Bahati mbaya hakusema uwe unajua kusoma na kuandika nini. Yaani pumba? Porojo? Nk.
 
Mkiambiwa Viwete wa akili mnakasirika mana inaonekana huwa husikilizi hata vyombo vya habari
 
Mkuu acha kuwasingizia NEC, wao wanachofanya nikuchukua jina kulingana na list iliyopelekwa na chadema.
Sasa ikiwa jina la catherine lingekuwa halifuati ktk list hiyo baada ya lile la dr macha (R.I.P) basi NEC nao wasingempa viti maalum.
 
Matusi ya nini nyie machadema?
 
Mkuu acha kuwasingizia NEC, wao wanachofanya nikuchukua jina kulingana na list iliyopelekwa na chadema.
Sasa ikiwa jina la catherine lingekuwa halifuati ktk list hiyo baada ya lile la dr macha (R.I.P) basi NEC nao wasingempa viti maalum.
NEC hawawezi kutoa majina hewani lazima watumie orodha iliyotumwa na chama husika, kama kigezo ni kuchagua mlemavu NEC wangeangalia jina la mlemavu au kuiagiza Chadema ipeleke jina la mlemavu
 
kitu hicho kinaliwa na ubunge kinapewa
 
mpuuzi mkubwa wewe,unataka ujue kila ulemavu wa mtu,haya basi uko kwenye KKK, una jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…