BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,488
- 14,066
Katika watu ambao ni hasara na hatari kuwatetea basi ni Watanzania, bora hata kutetea mbwa au paka ila sio kutetea Watanzania, ni vigumu sana kutetea watu wasio jitetea na sasa tunaaminishana mtu kama Mbowe alizaliwa ili aje kututetea sisi tukiwa tumetulia tuli tuli majumbani kwetu.
Kuna mtu ameuzimizwa kama Mbowe awamu ya Mwenda zake? Sisi tulimsaidia vipi? Mbowe nani asie jua vile Shamba lake lilivyo katwa katwa na wahuni wakina Sabaya kule Hai? Kuna mtu aliandamana kwa kitendo kile?
Leo hii pimbi tunasismama Ohoo Mbowe kalamaba asalai, ohoo mbowe kapewa pesa, ujinga wa Watanzania ni kuzania wao wamezaliwa watetewe tu na watu wengine, kama Mbowe na wengineo.
Nani alinyanyua mdomo au hata kuandamana wakati Mbowe ana shughulikiwa? Hakuna mjinga hata mmoja aliepaza sauti wala kuandamana, so how come now wajinga wajinga tuanze kusema kalamba asali mara sijui nini?
Kila mtu ajitetee na by the way kutetea Watanzania ni very risk bora kutetea hata mbwa.