Frey Cosseny JF-Expert Member Feb 4, 2015 1,984 1,405 Jan 10, 2017 #1 Mh Freeman Mbowe akiwa ikulu ya nchini Ghana
SupuyaPweza JF-Expert Member Oct 22, 2014 914 471 Jan 10, 2017 #2 Mbona pamefinya hivyo? ka chumba cha guest!...
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,142 Jan 10, 2017 #3 Wenzake wanakomaa mpaka wanaingia ikulu ila yeye kakalia sarakasi tu
Mibas JF-Expert Member Apr 3, 2012 4,191 6,358 Jan 10, 2017 #4 SupuyaPweza said: Mbona pamefinya hivyo? ka chumba cha guest!... Click to expand... Hapo sio Ikulu, ni nyumbani kwake (private house) huyo bwana Nana
SupuyaPweza said: Mbona pamefinya hivyo? ka chumba cha guest!... Click to expand... Hapo sio Ikulu, ni nyumbani kwake (private house) huyo bwana Nana
M Mokoyo JF-Expert Member Mar 2, 2010 15,145 5,565 Jan 10, 2017 #5 SupuyaPweza said: Mbona pamefinya hivyo? ka chumba cha guest!... Click to expand... Huko ndio kubana matumizi kunakotakiwa
SupuyaPweza said: Mbona pamefinya hivyo? ka chumba cha guest!... Click to expand... Huko ndio kubana matumizi kunakotakiwa