pOLENI BANA ILA FM NI MUUNGWANA SANA IKO SIKU NOT LATER ATAKUJA HAPO NA KUMWAGA MPUNGA MAANA ANAJUA MAANA YA MGENI RASMI JIANDAENI TUU SIKU SIO NYINGI ATATIA TIMU HAPO NA KUSAWAZISHA MAMBO HE IS GENTLE WE ALL KNOWHa ha ha ha ha!
Patric Richard pamoja na kuhitaji pesa yake ilitakiwa awaheshim waliomwalika.
Mbowe yuko busy sanaa,ukipewa ubusy wakewewe kichwa chapanz utanok,na kwatanzania hii anaeielewa tanzania vizur ni mbowe na jembe dr.
Wakuu,
Leo nilialikwa kwenye harambee ya KKKT dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Longuo - Moshi ambapo walikua na harambee ya ujenzi wa kanisa, na mgeni rasmi alitegemewa kuwa Mbunge wa Hai, Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman Haikaeli Mbowe.
Lakini cha kushangaza, Mh. Mbowe hakuweza kuhudhuria harambee hiyo pamoja na kukubali kuwa mgeni rasmi tangu awali, na taarifa nilizopata ni kwamba Mh. Mbowe alitoa taarifa ya kutokuhudhuria siku moja kabla ya harambee bila hata ya kutuma muwakilishi.
Kwa kweli katika hili Mwenyekiti wangu ameni let down sana as I always believe that he is a man of his words!!
Kama hutaki kuamini mama si umuulize mumeo Mbowe kama atabisha?
hakuna aliyesema, kwa sababu hakuna aliyelalamika, au umewasikia.Nani kasema hawajalalamika?!