Kila mshtakiwa ana mawakili wake, mwanzoni walikuwa natetewa kwa pamoja, walipogundua maelezo ya mshtakiwa wa pili yanamtaja Mbowe wakaomba kutenganisha mawakili
Katika ufuatiliaji mdogo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, nimeona mapungufu makubwa ambayo niliwahi kuelezea humu ndani. Wengine walisema sijui kitu na kwamba ile ilikuwa tu kesi ndogo na kuwa wanaenda kuiangusha serikali. Nikasema tusubiri tuone.
Leo nitagusia njia mojawapo inayoweza kuipa Serikali mwanya wa kumuachia huru Mbowe na kulinda sura zao. Tukumbuke siku zote Serikali haipendi kuumbuka.
Kabla sijaelezea hilo ngoja niwakumbushe kidogo kesi moja iliyokuwa inamkabili producer wa muziki wa Marekani Sean Combs, maarufu kama Puff Daddy pamoja na msanii wake aliyekuwa anajulikana kama Shyne. Ilikuwa ni kesi ya kurusha risasi ndani ya club ya usiku.
Baada ya kugundua kuwa ni lazima kuna mtu inabidi afungwe katika kesi ile (nadhani kuna mtu alikufa na majeruhi kadhaa) alichofanya Wakili wa Sean Combs, ilikuwa ni kuwatenganisha Sean Combs na Shyne. Kila mmoja akawa anawakilishwa na Wakili wake. Ilikuwa kama ni kumtoa kafara Shyne.
Nashangaa sana mpaka sasa kwa Mawakili wa CHADEMA kutochukua tahadhari za kutosha kumlinda Mbowe. Hili nililielezea vizuri huko nyuma. Katika hatua hii, njia mojawapo wanayoweza kuchukua ni hii ya kuwa na mawakili tofauti kwa Mbowe na wale walinzi wake. Ikiwezekana Mawakili wa walinzi wapunguzwe sana.
Mbowe ni mtu mkubwa sana kupewa uwakilishi sawa na wale walinzi wake hata kama mashitaka dhidi yao yanafanana.
Pia hii itaipa mwanya Serikali kujua pa kuangukia kama wakiona kabisa kuwa lazima afungwe mtu (hata kama ili tu waepuke aibu). Kafara ya wale walinzi siyo kubwa sana kwa uhuru wa Mwenyekiti Mbowe.
Nawasilisha hoja.
atika ufuatiliaji mdogo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, nimeona mapungufu makubwa ambayo niliwahi kuelezea humu ndani. Wengine walisema sijui kitu na kwamba ile ilikuwa tu kesi ndogo na kuwa wanaenda kuiangusha serikali. Nikasema tusubiri tuone.
Leo nitagusia njia mojawapo inayoweza kuipa Serikali mwanya wa kumuachia huru Mbowe na kulinda sura zao. Tukumbuke siku zote Serikali haipendi kuumbuka.
Kabla sijaelezea hilo ngoja niwakumbushe kidogo kesi moja iliyokuwa inamkabili producer wa muziki wa Marekani Sean Combs, maarufu kama Puff Daddy pamoja na msanii wake aliyekuwa anajulikana kama Shyne. Ilikuwa ni kesi ya kurusha risasi ndani ya club ya usiku.
Baada ya kugundua kuwa ni lazima kuna mtu inabidi afungwe katika kesi ile (nadhani kuna mtu alikufa na majeruhi kadhaa) alichofanya Wakili wa Sean Combs, ilikuwa ni kuwatenganisha Sean Combs na Shyne. Kila mmoja akawa anawakilishwa na Wakili wake. Ilikuwa kama ni kumtoa kafara Shyne.
Nashangaa sana mpaka sasa kwa Mawakili wa CHADEMA kutochukua tahadhari za kutosha kumlinda Mbowe. Hili nililielezea vizuri huko nyuma. Katika hatua hii, njia mojawapo wanayoweza kuchukua ni hii ya kuwa na mawakili tofauti kwa Mbowe na wale walinzi wake. Ikiwezekana Mawakili wa walinzi wapunguzwe sana.
Mbowe ni mtu mkubwa sana kupewa uwakilishi sawa na wale walinzi wake hata kama mashitaka dhidi yao yanafanana.
Pia hii itaipa mwanya Serikali kujua pa kuangukia kama wakiona kabisa kuwa lazima afungwe mtu (hata kama ili tu waepuke aibu). Kafara ya wale walinzi siyo kubwa sana kwa uhuru wa Mwenyekiti Mbowe.
Nawasilisha hoja.
Yaani sijaona alichojibu Kaaya kinachopelekea Mbowe kuwa Gaidi. Hajaonyesha Ugaidi wa Mbowe hata sielewi Ushahidi wake ni WA nini. Kampigia simu, kampa fedha ikawaje!!!???Kesi ya uongo..huyo Kaaya leo kajichanganya, aliandika alionana na Mbowe January huko Longido. Wakati January hiyo Mbowe alikuwa magereza
Yaani sijaona alichojibu Kaaya kinachopelekea Mbowe kuwa Gaidi. Hajaonyesha Ugaidi wa Mbowe hata sielewi Ushahidi wake ni WA nini. Kampigia simu, kampa fedha ikawaje!!!???
Huyu jamaa hata sijamuelewa alafu baadaye ikaja tokea Mbowe out walinz ndan mtakuja kuongea ni nin?Kwahiyo walinzi hawana thamani kwenye familia zao kuliko Mbowe?
Kila mshtakiwa ana mawakili wake, mwanzoni walikuwa natetewa kwa pamoja, walipogundua maelezo ya mshtakiwa wa pili yanamtaja Mbowe wakaomba kutenganisha mawakili
Na wote wakiwa out....wewe utakuja kuongea nini....Huyu jamaa hata sijamuelewa alafu baadaye ikaja tokea Mbowe out walinz ndan mtakuja kuongea ni nin?