Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 6,397 Reaction score 17,586 Aug 24, 2025 #1,001 Ubarilikiwe sana uliyefufua hili kaburi, nilikuwa natafuta sana huu uzi, CDM wengi kuna kipindi wanajizima data sana na ulikuwa huwaambii kitu juu ya FM hata baada ya hili kuthibitika 2015. Safarini Khartoum Sudani.
Ubarilikiwe sana uliyefufua hili kaburi, nilikuwa natafuta sana huu uzi, CDM wengi kuna kipindi wanajizima data sana na ulikuwa huwaambii kitu juu ya FM hata baada ya hili kuthibitika 2015. Safarini Khartoum Sudani.
Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 6,397 Reaction score 17,586 Aug 24, 2025 #1,002 Allen Kilewella said: Nitarudi kusoma watu walisemaje wakati huo. Click to expand... hahaahahhaha wengi wana ID mpya sasa. safarini Khartoum Sudani
Allen Kilewella said: Nitarudi kusoma watu walisemaje wakati huo. Click to expand... hahaahahhaha wengi wana ID mpya sasa. safarini Khartoum Sudani
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,941 Reaction score 51,063 Aug 24, 2025 #1,003 Nangu Nyau said: hahaahahhaha wengi wana ID mpya sasa. safarini Khartoum Sudani Click to expand... Hapo Sasa!! Ili bandiko lina mambo mengi sana kama Somo la kisiasa kwa CHADEMA.
Nangu Nyau said: hahaahahhaha wengi wana ID mpya sasa. safarini Khartoum Sudani Click to expand... Hapo Sasa!! Ili bandiko lina mambo mengi sana kama Somo la kisiasa kwa CHADEMA.