Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

HUYO BABA YENU KASHINDWA KUTOA USHAHIDI KASHINDWA MPAKA NA RAIA WA KAWAIDA Roma Kasema ukweli.
 
Ushahidi wa kumwaga mkuu. Tutaziweka hadharani akishashindwa kura na tutawekana sawa na wasaliti waliouza Chadema akina Mbowe. Ndo maana huu uzi upo hapa wa 2011. Usiwe na shaka kabisa!

Ila tambua kuwa mwaka hui mmesanda.
 
HUYO BABA YENU KASHINDWA KUTOA USHAHIDI KASHINDWA MPAKA NA RAIA WA KAWAIDA Roma Kasema ukweli.

Roma ndiyo nani? anaeandika nyimbo za matusi na uchochezi wewe ndiyo unampenda ama kweli uskstaajabu ya mussa utayaona ya filauni subiri oct 25 uone CCM inavyowachakaza ukawa kwenye matokeo
 
Roma ndiyo nani? anaeandika nyimbo za matusi na uchochezi wewe ndiyo unampenda ama kweli uskstaajabu ya mussa utayaona ya filauni subiri oct 25 uone CCM inavyowachakaza ukawa kwenye matokeo

Ndio nani mboana unasema ameimba nyimbo ya matusi.. ama kweli mswahili kwenye maneno ya maana "ANAKARIRI YA KISHENZI KULIKO YENYE MAANA " pole saana kwa kutetea WIZI unalalamikia matusi.
 
Hapa muhimu kwa wanachadema kuamka na kuhoji kwa nini walimwachia Mbowe nguvu yote hii? Hivi kweli wameshindwa wote kusimama kidete na kutetea maslahi mapana ya chama? Wametuangusha sana!
 
Hapa muhimu kwa wanachadema kuamka na kuhoji kwa nini walimwachia Mbowe nguvu yote hii? Hivi kweli wameshindwa wote kusimama kidete na kutetea maslahi mapana ya chama? Wametuangusha sana!

hahhaah wanachama wenyewe wafwata mikumbo, sasa unategemea kuna atakayenyanyuka kusimama kidete kutetea haki yake???
 
Kama kakiuza na aliyekinunua kuna maslai tatizo liko wapi.. nyie mi ccm si ndo mmetufundisha uwekezaji ..sasa lowasa ni muekezaji shida iko wapi...
 
CDM kuna ombwe la uongozi, watu wamekaa kipigaji zaidi, ukikaa vibaya tu wanakupiga unalala mbele
 
Kama kakiuza na aliyekinunua kuna maslai tatizo liko wapi.. nyie mi ccm si ndo mmetufundisha uwekezaji ..sasa lowasa ni muekezaji shida iko wapi...

Kweli wewe mwenzangu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kaa kwenu uoshe vyombo ila tambua CDM imeuzwa
 
Kumbe mipango ilikuwepo long time duh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…