Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mkuu, Mbowe kauza chama na wanachama.

Dr. Slaa kapoteza muda wake bure...

Ndio maana kashindwa aseme au afanye nini.nadhani alijua na alijaribu sana kupinga lakini alizidiwa nguvu.

Nashangaa mtu kama Lissu hakuliona hili??
Kweli nchi imekosa wazalendo wa kweli.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Ndio maana kashindwa aseme au afanye nini.nadhani alijua na alijaribu sana kupinga lakini alizidiwa nguvu.

Nashangaa mtu kama Lissu hakuliona hili??
Kweli nchi imekosa wazalendo wa kweli.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Pesa mwanaharamu. Si umeona Mnyika alivyopigwa mkwara wa kukatwa ubunge kakubali kubonyea.

Mnyika atalazimika kumsafisha fisadi aliyesema ana ushahidi wa ufisadi wake.

It is now official kuwa Chadema ni chama kinachotumiwa kuhalalisha ufisadi kwa maslahi binafsi ya kibiashara ya Mbowe...
 

Ha ha ha mkuu eti LISEMWALO LIKO KAMA HALIKO LAJA...ha ha ha Mbowe Mzee wa Dili sasa yametimia kauza chama na MANYUMBU yake
 
Ndio maana kashindwa aseme au afanye nini.nadhani alijua na alijaribu sana kupinga lakini alizidiwa nguvu.

Nashangaa mtu kama Lissu hakuliona hili??
Kweli nchi imekosa wazalendo wa kweli.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Pesa mkuu wangu. Hiyo iliandkwa 2008 kumhusu lisu
8. Tundu Lissu – a thuggish lawyer who is making a lot of noise against multinationals but is currently awash with [consulting] cash from multinationals.
 
It was all true and right.....time is always the perfect judge...!!
 
chadema wana malengo yao makini hata iweje 2015 wanashika dora. Huo ni mpango ndani ya makundi ya ccm kumchafua EL ili wamweke mtu wao na hata hvyo hawataweza kamwe..! Kwani 2015 ni cdm tu.

Hiyo dora watakayoshika labda ya UKAWA ila sio ya serikari ya watanzania sisi hatuwez buruzwa na watu wanaoziana chama trna wasaka tonge tu
 
pesa bwana itanunua kila kitu lakini sio upendo wala furaha October 25 ntawakaataa tu hakuna namna...!!
 

Kuna watu wanajua kupata habari za siri.
Hii ilikuwa 2011. Sijui bado tutunze maana ile ile ya neno "msaliti" au tuirekebishe kidogo 😧
 
Watu na wakusome.
 
Sio kweli. Ni kijana aliyejitolea kuleta ukombozi wa kweli

Huyu kijana ama babu yasije yakatokea kama ya zambia tu inatia huruma sana kuona watu kama tundu lissu,halima mdee,john mnyika wakifumba midomo na kuacha hii hatari ya kuuzwa kwa chama chao na mtu binafsi hapo hakuna uzalendo kumbe wote walikua wanasaka tonge tu sasa tumeshtuka na sasa basiii tunarud ccm #HAPAKAZITU
 
Magamba bwana, jiandaeni kwa kampeni, Mambo ya mtaa wa pili waachieni wenyewe. Mtasutwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…