Mbowe aiteka Tanzania

Mbowe aiteka Tanzania

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Alama na salamu iliyobuniwa na Mwenyekiti wa CHADEMA katika Mkutano wa BAWACHA Millenium Towers imeikamata Tanzania. Alama hiyo ya kuzungusha mikono kama tairi inasindikizwa na salamu isemayo:Mabadiliko....Lowassa!;Lowassa....Mabadiliko!

Sasa alama hiyo na salamu inatumiwa na CHADEMA na UKAWA kwenye mikutano yao ya kampeni nchi nzima. Hakika,Mbowe anastahili sifa kwa ubunifu huu wa alama na salamu.
 
Hapo ndio penyewe huu ubunifu na kutumia fursa vizuri ni vitu vya msingi sana na ndio chachu ya mabadiliko na maendeleo ya chama
 
Wezi wa escrow na madalali wa twiga wetu wakiona hivyo wanaongeza tu mapene kwa padri... Ccm hawana manusura mwaka huu, tutawapiga pande zote mbele na nyuma
 
Wakati cc Chadema tunaongeza silaha nzito ccm walikua wamebakiza risasi moja 2 (Slaa)ndani ya bunduki yao salsa wameishiwa watayakabili VP hay a mabadiliko??.
 
mabadiliko.tunayoyahitaji ni haya yanayohubiriwa na mbowe na lowasa na sio maghufuli..
 
Alama na salamu iliyobuniwa na Mwenyekiti wa CHADEMA katika Mkutano wa BAWACHA Millenium Towers imeikamata Tanzania. Alama hiyo ya kuzungusha mikono kama tairi inasindikizwa na salamu isemayo:Mabadiliko....Lowassa!;Lowassa....Mabadiliko!

Sasa alama hiyo na salamu inatumiwa na CHADEMA na UKAWA kwenye mikutano yao ya kampeni nchi nzima. Hakika,Mbowe anastahili sifa kwa ubunifu huu wa alama na salamu.
Mbowe ni shujaa
 
Wezi wa escrow na madalali wa twiga wetu wakiona hivyo wanaongeza tu mapene kwa padri... Ccm hawana manusura mwaka huu, tutawapiga pande zote mbele na nyuma
Dr. Slaa arudishe pesa za watu.
Ngonjera zake hazijabadili upepo wowote.
Amezidisha chuki za watanzania kwa ccm.
 
Alama na salamu iliyobuniwa na Mwenyekiti wa CHADEMA katika Mkutano wa BAWACHA Millenium Towers imeikamata Tanzania. Alama hiyo ya kuzungusha mikono kama tairi inasindikizwa na salamu isemayo:Mabadiliko....Lowassa!;Lowassa....Mabadiliko!

Sasa alama hiyo na salamu inatumiwa na CHADEMA na UKAWA kwenye mikutano yao ya kampeni nchi nzima. Hakika,Mbowe anastahili sifa kwa ubunifu huu wa alama na salamu.

Ile ya kupinga ufisadi imefutwa?
 
Aluta continua

Kuna kitu amabacho UKAWA mnalack kwa kweli. Badala ya kuongelea sera au ilani yenu mnasifia style ya kusalimiana??

Badala ya kuiambia umma na kuwafafanulia watu kwa ufasihi kuhusu mikakati yenu ya kuiongoza nchi, mnasifia alama ya kusalimiana??

Badala ya kuwaambia watanzania kwa nini kila anayesema ukweli mnamkata kwenye chama na kumuona msaliti, mnasifia style ya salamu??

Badala ya kuwaambia watanzania kwa nini leo hii mnaimuita fisadi shujaa, mnasifia style ya salamu??
 
Mbowe hana ubunifu wala jipya, mwambie amwambie Lowassa azungushe mikono kama ataweza.
 
Back
Top Bottom