Leo tumeshihudia Mzee Mbowe akiwahda watanzania kwa kuandaa vijana ili aonekana bado anapendwa ndani ya chama .
Watanzania wenzangu tunalo jambo kubwa sana la kujifunza kwa huyu mzee kuwa ni hatari sana kumpa madara mwananchi mwenye elimu duni kama mzee Mbowe ni lazima atangangania madara tu .
Watanzania wanashana na Mzee Mbowe nae anawashangaa🙆♂️🙆♂️😁