Mbowe aachiwa bila dhamana



Wakati anaachiwa huru bila dhamani hawa vikaragozi wabeba mabomu na bunduki walijificha kupisha Freeman jabali la mageuzi likitembea kwa mneso kuondoka mahakamani? Haya hizi ni dalili za kipima joto cha sirikali ya jakaya kimeungua.
 




Kuna tofauti gani kati ya Polisi wa kwanza wa Tanzania na polisi wa pili wa Marekani? Wote ni polisi lakini wa Marekani anaonekana akipita kati ya wananchi huku wananchi hawana khofu ye yote wakati kuna tukio la uvunjaji wa sheria pale. Lakini Polisi wa Tanzania ni vita na wananchi, hakuna ufundi, busara na askili kwa polisi wa Tanania.
 
Dah!.... our generation is a "lost" one.
 
Mleta mada akileta mada bila source changanya na zako...

Mkuu mbona blog ya michuzi iliisha badilika siku nyingi!!., Tokea uchaguzi wa 2010 Michuzi amechakachuliwa na kuwa sawa TBC idhaa ya blog. The only thing you can trust on Michuzi blog is pictures, all words are propaganda especially when it comes to politics. Nilikuwa addicted na michuzi miaka hiyo ila sasa hivi nafikiri mpaka nisome JF kama hivi ndiyo nakumbuka ipo. Kule nilikuwa nafuata comments ambazo kwa sasa hazipo.

Don't trust Michuzi blog it belongs to greens and yellow.
 
 
Wanajua deep inside hakuna kosa...
 
Hali ya mahakama zetu ni hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…