Mbowe aachiwa bila dhamana


Asante mkuu kwa kufanya homework ili utujuze, tumekuelewa sana
 

Sheria za Tanzania ni ule msumeno wa mkono unaokata kumoja, upande mmoja usio na makali yaani wa juu wamekaa CCM na upande wa Chini wenye makali wamekaa CDM na wapigania uhuru wa nchi hii. Mwenye msumeno anautembeza wakati wote na walioko juu (CCM) wao wanateleza tu, sana sana wanasikia huku chini kwenye makali CDM na wapigania uhuru wakilalamika. Kikubwa ninachofurahia hapa ni kwamba Sheria hizi za Tanzania ni sawa na mtu kupewa Msumeno kama huo kufyekea chini msitu wa Hekari laki moja, panya walioko msituni watakumaliza kabla hata hujafyeka nusu ekari.
 
Kesi za kisiasa nazo kesi! si magamba wanamchecheto na waandae sana magereza mwaka huu, mbona yatajaa wanaharakati. hakuna kurudi nyuma tunasonga mbele.
 
huko tunakoelekea maamuzi mengi yatatoka bila mpangilio
 
kazi kwelikweli mshikaji jifunze kuandika kwa usahihi manene yafuata: badara ni badala,marisa ni malisa,taharifa ni taarifa rema ni lema

HAKIKA umenena vema,wewe pia jitahidi kuandika vizuri maneno(siyo manene),yafuatayo(siyo yafuata),thanks
 
Hakimu Devotha Kamuzora anayesikiliza shauri hilo alikubaliana na maombi ya utetezi na kumpa dhamana Mbowe kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wenye vitambulisho na barua ya utambulisho kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kata ambao walitia saini hati ya dhamana ya Sh. Miliono Tano kila mmoja. Mshtakiwa aliachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti na kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 22, mwaka huu itakapotajwa
 
alisema atafanya maamuzi magumu..... jamaa kid000ogo wameanza kuchemsha masaburi yao, wakamuachia!
 
jk bwana ye alifikiri kuongoza nchi ni lelemama ...atajiju
 
Hili ni la kawaida saaaana kwa selikali tuliyo nayo, multstandand gvt. Nayo haini aibu they are just leaving vegetatively!.......
 
Kwanini asiachiwe kosa lake nini ?.mwenzako aliuwa Protea Hotel anakula kuku kwamrija nyie mkabaki NMC mnapigwa baridi bure.

 
Ha ha ha ha ha ha ha jamaa wanawaogopa CHADEMA ile mbaya....
 
Sheria za nchi zinatoa hyo loop hole na hakimu kwa kutumia weledi na busara kuliko masaburi basi akaona ni vyema akamwachia mh. Mbowe kwani upatikanaji wake hauna shida. Safari ndo inaanza watabana sana mwisho wa siku wanaachia watu wanapita
 
Nin ini kisichoaminika? amepelekwa mahakamani,baada ya shahuri kusikilizwa alitakiwa apewe mdhamana,hakukuwa na mtu wa kumdhamini nae akawaambia haitaji kudhaminiwa na mtu na hatajidhamini mwenyewe.
Then MAHAKAMA IKAMUACHIA BILA MDHAMANA.mMEELEWA?

Shemeji yetu, tunakuheshimu. Lakini kama utakuwa unatetea pumba zilizovunda namna hii??? itabidi tukuweke katika kundi lile la wapuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…