Mboni ya Jicho la Nguruwe yatumika ku-replace jicho la binadamu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,679
149,868
Matibabu haya yameanza kufanyika huko nchini China ambapo mtu mmoja amewekea mboni ya jicho la Nguruwe.Mboni hii inatumika kwa watu wasioona.

Madaktari wa kichina wamesema mboni ya jicho la Nguruwe ndio imeonekana kufaa kuliko mboni za macho ya wanyama wengine.

Chanzo: BBC Swahili
 
Chanzo:BBC Swahili
Astaghafirulah
 
Nguruwe angekuwa haramu MUNGU asingeumba mboni ya jicho la nguruwe iwe compatible na mboni ya jicho la mwanadamu!
Mkuu vilivyo haramu viko duniani usidhani viko mbinguni, binadamu alijazwa akili, kipimo cha akili yake akawekewa mipaka namna ya kuishi, hata Kama hata ukiyafanya hutopata madhara hapa Duniani. Mfano: Kula nyama ya nguruwe muislam, kufanya mapenzi na Dada yako au mama yako Kuna madhara gani, fikilia chukua hatua.
 
Kwani watoto wa Adamu walioana na nani vile?? Je walihesabiwa dhambi kwa hilo??
MUngu kipindi cha Nuhu alisema anataka kuisafisha dunia iwe safi mbali na uchafu na haramu yoyote ndio maana akaisafisha na maji
Swali: why alimruhusu Nuhu amuingize haramu Nguruwe kwenye safina??
 
Mkuu dini ni imani, sioni sababu ya kupingana na kisichokusu, au hujui maana ya imani. Imani ni kuamini. Kama Dunia imesafishwa kwanini Kuna kudhini, wezi, majambazi, mauaji, haya sio makatazo umeuliza kuhusu watoto wa Adamu kuona, Mimi sikijui kitabu chako je Kuna aliemuoa mama yake. Sasa kwa kitabu chako kinakwambia dhambi imesafishwa Duniani, ila ingali inatendeka je unadhani kitabu chako kimedanganya?
 
Back
Top Bottom