Nampongeza kuwa na initiative km hii Nilifurahi watz tutakuwa na talkshow ya ukweli yenye kujadili issue zinazogusa jamii kama za kina Oprah or so
Cha kushangaza anaenda kutuletea wanafunzi wa vyuo vya uchochoroni mara Eagle wings college mara sjui nn!
Mboni mwenyewe kuongea hajui utamskia kila saa 'audience wangu, audience wangu' hamna kiswahili cha audience? Mara oooh leooooo tunaongeaaaa kuhusu chuki??? Kuhusu simu,,What the heeeck!
Talkshows zinataka watu wenye upeo mpana wa mambo mbalimbali manake utaongea na watu wa kila tasnia na mwenye art ya kupanga maneno anapoongea, mwenye kuweza kuongea na kila rika siyo kubahatisha tu na kubadilisha nguo.
Kwa kifupi kipindi hakina mvuto. Badilisheni approach!