Mbongo utamjua tu

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,923
Ukitaka Kujua Mtu ni Mbongo Halisi anapokwenda kwenye Hotel za Kitalii ama Zile kubwa kubwa sio "Migahawa" mambo matatu uyatarajie ukiyaona ujue ni mmbongo mwenzako.

1. Hataki Kutumia Menu anamuuliza Muhudumu tu "Kuna Wali Nyama ama Chipsi Kuku??" hataki kabisa kusoma Menu.

2. Ukiona mtu amechukua Menu halafu anasoma Upande wa Kulia Kwenda Kushoto yaani anaanzia kusoma bei kisha ndo anaangalia chakula, ujue pia mbongo mwenzio.

3. Ukiona anapata tabu kutumia kisu na umma, kuliko kijiko ama maji ya kunawa basi jua mmbongo mwenzio usihangaike kumuongelesha kizungu.
 
Hahahaha niyo namba mbili nikweli kabisa
 
Hahahaha eti anasoma menu kutoka kulia kuelekea kushoto lol
 
Hahahahaaah,,,,,,mimi zote hizo sifanyi nikiwa huko mahoteli, kwa hiyo mimi sio mbongo.
 
Hahahaaaaaa. Ukiona anavuta kiti na anaweweseka kukikalia nae ni mbongo mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…