Mbona wenye mamilioni ya chanjo bado wako lockdown na wanakufa

Mbona wenye mamilioni ya chanjo bado wako lockdown na wanakufa

Cha kuchekesha wanaosema chanjo ya COVID19 ni feki hawajawahi kutengeneza hata chanjo ya kideri cha kuku toka mwaka 1961 walivyopata uhuru.
Kweli wafu huzikana wenyewe. Pale Kibaha zinatengenezwa chanjo za nini? Huu ndiyo unaitwa wendawazimu. Kama hujui kitu unakausha. Chuki zinawafanya kuwa wendawazimu sasa. Utakuta hapo uko nyuma ya keyboard hujawahi fuga hata kuku mmoja ila kiherehere cha kuja kuropoka kuwa hata chanjo ya kideri haitengenezwi hapa unacho. Shame on you failure.
 
Waliochanjwa huko hawazidi hata 30% ya population yao. Kwa sasa hakuna mwenye uhakika nguvu ya hiyo chanjo inaisha lini ili mtu adungwe tena

Chukua tahadhari. Corona ipo na inaua vibaya
Sure sure.....korona pia ipo Chukua Tahadhari
 
Kwa maelezo yako haya ni kuwa hakuna haja basi ya kuwa na chanjo wala tiba au kinga ya magonjwa mengine kama malaria, pumu, vidonda vya tumbo n.k kwa kuwa tu wanaougua magonjwa hayo huwa wengine wanakufa/
Hujaelewa soma vizuri
 
Back
Top Bottom