Mbona wengine wameswali Eid leo?

Mbona wengine wameswali Eid leo?

Joined
Jul 8, 2013
Posts
54
Reaction score
76
Leo katika pilikapilika zangu nimekutana na washkaji zangu wameniambia wameswali Eid leo lakini Mufti wa Tanzania Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir Bin Ali ametangaza kuwa Eid ni kesho.

Naomba kueleweshwa hili. Inakuaje kuaje hasa wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushajiuliza kwa nini wasabato wanasali jumamosi na wakatoliki jumapili?
 
Back
Top Bottom