mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,095
- 39,619
Mh nani tena walitaka kumng'oa madarakani??Hakuna anayetamani Magufuli aongezewe hata wiki moja pindi atakapo maliza muda wake.
Kwa ilikuwa bado kidogo tu watu wafanye michakato ya kumng'oa angali bado yupo madarakani.
Kipi kikawashinda???