Mbona wameachana

Gala wewe badala usikitike mwenzio kakosa ndoa mbwa wewe unafurahiyaaa ------ wewe
 
Roho iliuma ulipoona anaolewa na mwingine ni vzr kuachana naye na kutafuta mwingine ambaye mtaelewana.

Kitu gani kinakusababisha kudhani kuwa hatuelewani na huyu?
 

Ukipewa chance ya kurudiana nae utafanya hivo? utakubali kulea mtoto wake? wewe una mtoto?
muda wote mliokuwa apart anaweza kuwa amebadilika tabia na mind yake imekuwa tofauti, kama unafikiria kuwa na mahusiano nae usitegemee kuwa atakuwa kama kipindi mko wachumba. Just note that and all the best.
 
Kumbe bado una mawazo naye? Ndiyo maana ulikuwa unafuatilia maisha yake kwa karibu. Utakuwa umechangia kwa % kubwa kuachana kwao.
 
Naona mtoto keshapata baba wa kambo, hongera kwa kukubali majukumu.
 



...kaka, ....maisha unayoishi siyo, badilika.
 
si suala la shehe yahya, ni kwamba nilikuwa vizuri sana naye, nisingekosea observation ile.


tupe sababu kuu ya yeye kukuacha..baada ya apo ntachangia thread zote mbili.
 
Kuachana siojambo kubwa. I'd rather niachane na mzazi mwenza na niwalee watoto wangu wawe strong responsible human beings rather than kubaki kwenye ndoa na mtu ambaye atasababisha watoto wawe ns very negative perceptions about marriage.

If you feel something for her then why not try again?
 

Mimi sijaoa wala sina mtoto.
 
Kumbe bado una mawazo naye? Ndiyo maana ulikuwa unafuatilia maisha yake kwa karibu. Utakuwa umechangia kwa % kubwa kuachana kwao.

Sijafuatilia maisha yao wala sijachangia chochote katika kuachana kwao. Hivi juzi nimekutana naye kwa bahati tu, wakiwa wameshaachana na kugawana mali.
 
Mimi nilipokuwa naye sikuwahi kumuuliza size ya kiatu au ya bra, nikifika dukani nikitazama tu naona hiki kitamtoa na kweli hata mwenyewe alikuwa anashangaa. Nilijua hisia zake na taste yake, yaani kwa karibu kila kitu.

Wivu wa Kijinga...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…