Mbona Walimu hawateuliwi kwenye bodi mbalimbali?

Ninekuwa nikiona watu wanaoyeuliwa kwenye bodi mbalimbali ambazo mamlaka za uteuzi ni rais au mawaziri.Wanateua watu ambao ni mabig fish tu.Watubambao tayari wako well off.Ila sijawahi kuona mwalimu hata mmoja ameteuliwa.Jamani huu ni uonevu,alaf nchi hii ni yetu sote jamani.Inakuwaje keki ya nchi wanakula watu wachache tena wale wale.
Jamani mamlaka za teuzi wakumbukeni walimu jamani
Makada tule paleLumumba hawateuliwi wao ni kupongeza tu
 
Back
Top Bottom