Mati Mkenda
Senior Member
- Mar 4, 2018
- 171
- 211
- Thread starter
- #41
Ahsante kwa kuelewa kuwa wajinga, waoga, maskini na wazee ndio wanaojua machungu na kwa maana hiyo ndio wanaichagua CCM kwa kishindo. Tunashukuru kuipenda kwao na kuichagua ndio kumetufikisha hapa tulipo... maskini wa kiwango cha juu... Kwao wao umaskini ndio maendeleo!!
Nonsense, absolutely nonsense. Sina akili ndogo kama hizo zako hata siku moja na katu sitoweza kuwa nazo. Endeleeni tu kulalamika wakati mnajitia kuwatetea wanawacheka tu baada ya kuwaona unafiki wenu. Mnachekesha sana tu!!