Mbona vilio vya social media mitaani sivioni?

Mbona vilio vya social media mitaani sivioni?

Ahsante kwa kuelewa kuwa wajinga, waoga, maskini na wazee ndio wanaojua machungu na kwa maana hiyo ndio wanaichagua CCM kwa kishindo. Tunashukuru kuipenda kwao na kuichagua ndio kumetufikisha hapa tulipo... maskini wa kiwango cha juu... Kwao wao umaskini ndio maendeleo!!

Nonsense, absolutely nonsense. Sina akili ndogo kama hizo zako hata siku moja na katu sitoweza kuwa nazo. Endeleeni tu kulalamika wakati mnajitia kuwatetea wanawacheka tu baada ya kuwaona unafiki wenu. Mnachekesha sana tu!!
 
Pengine unaishi mitaa ya Masaki au Oysterbay.
Nenda Kariakoo ujionee maduka yaliyofungwa.

Masaki ndo Uswahilini? Hata hivyo mimi sipo Dar es salaam though naifahamu sana tu. Huko wanaolalamika wengi ni wanaume wa Dar waliozoea ganda la ndizi.
 
Masaki ndo Uswahilini? Hata hivyo mimi sipo Dar es salaam though naifahamu sana tu. Huko wanaolalamika wengi ni wanaume wa Dar waliozoea ganda la ndizi.
Kweli wewe wa mkoani!
Hujui kuwa Masski siku hizi kuna uswahilini?
 
Nonsense, absolutely nonsense. Sina akili ndogo kama hizo zako hata siku moja na katu sitoweza kuwa nazo. Endeleeni tu kulalamika wakati mnajitia kuwatetea wanawacheka tu baada ya kuwaona unafiki wenu. Mnachekesha sana tu!!
Kwahiyo huko kwenu wewe ndio mwenye akili kubwa??? Hahahaha.... ama kweli utafiti umeleta majibu ya ukweli...

Wewe ndio mwenye akili kubwa??? Hahahaaha... Akili kubwa kama za Le Mutuz....

Hahahahaha... sawa bwana mwenye akili kubwa...
 
We ni MTU mjinga Mi nimekaa tz mwaka na nusu na sijapata kazi karibu nijinyonge

We mburula kweli, unajinyongaje na mashamba yote tuliyonayo haya? Njoo Kusini nikupe shamba la korosho sasa hivi bei yake inapasua anga. Serikali hii haina mchezo ni kutenda tu
 
Utafiti: CCM inapendwa na wajinga, waoga na maskini, wazee na wanawake waliojikatia tamaa ya maisha. Na wengi wa watu hawa wako vijijini na mijini sehemu za uswahilini kwenye hali duni zaidi za maisha.

Jitafakari wewe uko kwenye kundi gani hapo then utapata jibu la swali lako
Exactly! Thread closed.
 
Mkitaka kujua kama wananchi wanaridhika kwa kiasi gani, wekeni tume huru ya uchaguzi. Hiko, ndio kipimo kizuri hapo utapata jibu wananchi wanaitazamaje ccm, manake kila mtu atapiga kura kwa siri ataongea yaliyopo moyoni mwake, lakini kuangalia kuangalia ktk mitandao ya kijamii, au mitaani hakuwezi kutoa jibu sahihi. Kwasababu Kuna watu wana ID zaidi ya kumi humu, wengine mitaani ni waoga kutoa mawazo yao, wengine wanafki.
 
Mbona vilio vya social media mitaani sivioni?

Ingekuwa naishi nje ya nchi nikawa napitia tu posts kikundi fulani cha watu kwenye social media, ningeweza kupata picha ya society ya Watanzania ambayo iko very desparate na uongozi uliopo madarakani.
Cha ajabu kelele nyingi za malalamiko naziona kwenye social media. Lakini kwa kuwa naishi mitaani tena uswahili haswa, watu wengi sana wa maisha ya kawaida ambao kimsingi ndio walipaswa kulalamika sana, ndio hao wanaipongeza serikali hii kwa nguvu zote.

Ndio hao wanaoonekana kuwa wako contented kabisa na serikali yetu. Ndio hao wanampongeza Rais kwa kuwa amerejesha heshima yao ambayo ilikuwa imepotea, watoto watoto wao wanasoma elimu bure, hospitali na sehemu nyingine wanathaminiwa tofauti na zamani, na huduma nyingine za jamii zimeboreka.

Sasa najiuliza hicho kikundi kidogo cha kwenye “Social Media” ni nani anayewatuma kuleta chokochoko hapa nchini, na ni kwa maslahi ya nani?
Unataka walalamike halafu watekwe waokotwe kwenye viroba? Acha ujinga wako wewe,
 
Utafiti: CCM inapendwa na wajinga, waoga na maskini, wazee na wanawake waliojikatia tamaa ya maisha. Na wengi wa watu hawa wako vijijini na mijini sehemu za uswahilini kwenye hali duni zaidi za maisha.

Jitafakari wewe uko kwenye kundi gani hapo then utapata jibu la swali lako
Kwa lugha na dharau za namna hii, kabla hata hamjahodhi madaraka. Ndio sababu kuu mnachukiwa na hamtochaguliwa kamwe. Na ni kweli ccm itaongoza milele.
 
Kwa hiyo unahisi wanaolia kwenye social media ni robots?
 
Achana na makauzu, mazembe walahi
 
Ungetumia ID ile ile kusifia ingekua vizuri zaidi kuliko kuja na ID mpya maandishi yako yanaeleweka ni nani
 
Mbona picha inayojengeka siku hizi eti CCM inapendwa na Maprofessor na ma Dr(Phd holders)?
Sasa ukifanya utafiti wenye maoni tofauti unanyang'wa passport na ushahidi upo!!

Kwanza hiyo CCM inapambanishwa na chama kipi ili kudhihirisha kinapendwa?! Ninachojua vyama vya upinzani vimepigwa marufuku kufanya siasa. Na wakifanya wanakamatwa
 
Hahahaaa nchi hii sasa hivi ni vichekesho na sinema kibao.Sina hakika kama kadri tunavyokwenda huko mbele hali iatakua kama hivi au itakua nafuu kidogo
 
Siri kubwa ni kuwa hao uliowataja hawadanganyiki na mabeberu wanaowatumia ninyi. The truth side of it ni kuwa they're the ones wanaojua machungu na mazuri ya regime yoyote.... Nyie wengine mnatapatapa tu kwa kisingizio cha kuwasemea wao
Hivi kusifia uoga, ujinga , umaskini na udictator nao ni uzalendo cio ??!!
Aibu kubwa kwa nchi baada miaka karibu 60 ya uhuru
 
Mtaani naishi huko, niko kotekote ndugu. Lakini wewe unalia hapa tukikutana mtaani sikuoni ukilia. Mtaani pia nina maswali na story zangu
Shut up you do not what you are talking. Maisha si pesa tu, maisha ni kila kitu kinachokuzunguka. Wewe kula bata lakini kumbuka ipo siku utamkumbuka Mobutu na wenzie waliishia vipi. Enjoy your days when you have the chance. Kumbuka wenye vyeti face waliotumikia taifa miaka 40 wapo wanakusoma. *** you.
 
Uhuru wa maoni umeminywa na badala yake watu wanatema nyongo zao kupitia mitandao
 
Sijui umetumia akili gani kuanzisha huu uzi!!
 
Back
Top Bottom