Mbona vilio vya social media mitaani sivioni?

Upo sahihi mkuu, ipo namna ya siasa maji taka kwenye mitandao siku hizi,social medias hazitumiki kuelimisha na kuburudisha bali kutupumbaza na kupoint fingers kwa wanasiasa,lengo ni tuone serikali yetu ni mbaya
ID Mpya inaanzisha mada, inajibiwa na ID mpya kwa kusuppotiana.

Hii ndio PhD akili ya Jiwe.

Masikini kodi yangu.
 
Utafiti: CCM inapendwa na wajinga, waoga na maskini, wazee na wanawake waliojikatia tamaa ya maisha. Na wengi wa watu hawa wako vijijini na mijini sehemu za uswahilini kwenye hali duni zaidi za maisha.

Jitafakari wewe uko kwenye kundi gani hapo then utapata jibu la swali lako

Siri kubwa ni kuwa hao uliowataja hawadanganyiki na mabeberu wanaowatumia ninyi. The truth side of it ni kuwa they're the ones wanaojua machungu na mazuri ya regime yoyote.... Nyie wengine mnatapatapa tu kwa kisingizio cha kuwasemea wao
 
ID Mpya inaanzisha mada, inajibiwa na ID mpya kwa kusuppotiana.

Hii ndio PhD akili ya Jiwe.

Masikini kodi yangu.

Ningekuwa ni wewe ningekaa kimya ili niweze kuficha ujinga wangu, upya wake unaelezaje hapo? Moreover upya wa ID si hoja, hoja ni kilichozungumzwa
 
Niongezee kisa mitaani watu wamekaa kimya haimaanishi kuwa wanaridhika na hii hali . Basi tu hawana namna wanaona bora waish hatakama kwa tabu..
Lakin mioyoni wana manung'uniko makubwa.

Mtoa mada afanye research nyumba kqa nyumba ndio ataelewa. Hii ya juu juu aliyofanya bado sana? Hajafikia hata mitaa 85 %

Hawakai kimya, they speak their minds. Kama mtu alikuwa ana-feel kuwa yuko rejected na sasa anaona his/her dignity inakuwa restored unategemea asemaje?
 
Mbona vilio vya social media mitaani sivioni?

Ingekuwa naishi nje ya nchi nikawa napitia tu posts kikundi fulani cha watu kwenye social media, ningeweza kupata picha ya society ya Watanzania ambayo iko very desparate na uongozi uliopo madarakani.
Cha ajabu kelele nyingi za malalamiko naziona kwenye social media. Lakini kwa kuwa naishi mitaani tena uswahili haswa, watu wengi sana wa maisha ya kawaida ambao kimsingi ndio walipaswa kulalamika sana, ndio hao wanaipongeza serikali hii kwa nguvu zote.

Ndio hao wanaoonekana kuwa wako contented kabisa na serikali yetu. Ndio hao wanampongeza Rais kwa kuwa amerejesha heshima yao ambayo ilikuwa imepotea, watoto watoto wao wanasoma elimu bure, hospitali na sehemu nyingine wanathaminiwa tofauti na zamani, na huduma nyingine za jamii zimeboreka.

Sasa najiuliza hicho kikundi kidogo cha kwenye “Social Media” ni nani anayewatuma kuleta chokochoko hapa nchini, na ni kwa maslahi ya nani?
Ni kweli unachosema. Malalamiko yaliyokuwepo wakati wa Kikwete na ndiyo hayo hayo yaliyopo wakati huu na ndiyo yaliyokuwepo wakati wa Mkapa mpaka wakaita UKAPA! Wananchi wa JF na wananchi wa Tanzania ni vitu viwili tofauti.
 
Mtaani naishi huko, niko kotekote ndugu. Lakini wewe unalia hapa tukikutana mtaani sikuoni ukilia. Mtaani pia nina maswali na story zangu
Basi hili swali ulipaswa uulize mtaani na majibu utoke nayo huko mtaani
 
Nikiwa kwao nawauliza the opposite. Mnatuaminisha mambo ambayo hayapo kabisa, mnaotumbia kuwa wanalalamika sisi tunaona wanashangilia ni ajabu kweli
 
Mbona vilio vya social media mitaani sivioni?

Ingekuwa naishi nje ya nchi nikawa napitia tu posts kikundi fulani cha watu kwenye social media, ningeweza kupata picha ya society ya Watanzania ambayo iko very desparate na uongozi uliopo madarakani.
Cha ajabu kelele nyingi za malalamiko naziona kwenye social media. Lakini kwa kuwa naishi mitaani tena uswahili haswa, watu wengi sana wa maisha ya kawaida ambao kimsingi ndio walipaswa kulalamika sana, ndio hao wanaipongeza serikali hii kwa nguvu zote.

Ndio hao wanaoonekana kuwa wako contented kabisa na serikali yetu. Ndio hao wanampongeza Rais kwa kuwa amerejesha heshima yao ambayo ilikuwa imepotea, watoto watoto wao wanasoma elimu bure, hospitali na sehemu nyingine wanathaminiwa tofauti na zamani, na huduma nyingine za jamii zimeboreka.

Sasa najiuliza hicho kikundi kidogo cha kwenye “Social Media” ni nani anayewatuma kuleta chokochoko hapa nchini, na ni kwa maslahi ya nani?
Pengine unaishi mitaa ya Masaki au Oysterbay.
Nenda Kariakoo ujionee maduka yaliyofungwa.
 
Well said walahi
Si unakumbuka mambo ya 4/26 Hahahaha
Ile comedy ni kiboko walahi uwiii
Achana na mijitu yenye frustration zao walahi
Enjoy life my dear!
 
Mbona vilio vya social media mitaani sivioni?

Ingekuwa naishi nje ya nchi nikawa napitia tu posts kikundi fulani cha watu kwenye social media, ningeweza kupata picha ya society ya Watanzania ambayo iko very desparate na uongozi uliopo madarakani.
Cha ajabu kelele nyingi za malalamiko naziona kwenye social media. Lakini kwa kuwa naishi mitaani tena uswahili haswa, watu wengi sana wa maisha ya kawaida ambao kimsingi ndio walipaswa kulalamika sana, ndio hao wanaipongeza serikali hii kwa nguvu zote.

Ndio hao wanaoonekana kuwa wako contented kabisa na serikali yetu. Ndio hao wanampongeza Rais kwa kuwa amerejesha heshima yao ambayo ilikuwa imepotea, watoto watoto wao wanasoma elimu bure, hospitali na sehemu nyingine wanathaminiwa tofauti na zamani, na huduma nyingine za jamii zimeboreka.

Sasa najiuliza hicho kikundi kidogo cha kwenye “Social Media” ni nani anayewatuma kuleta chokochoko hapa nchini, na ni kwa maslahi ya nani?
Mbona wewe alipokuja kwangu ulitaka kunibomu nikakushtukia, kumbe hiyo ndiyo stairi yako ya kujua kama tumeridhika!
 
Mbona vilio vya social media mitaani sivioni?

Ingekuwa naishi nje ya nchi nikawa napitia tu posts kikundi fulani cha watu kwenye social media, ningeweza kupata picha ya society ya Watanzania ambayo iko very desparate na uongozi uliopo madarakani.
Cha ajabu kelele nyingi za malalamiko naziona kwenye social media. Lakini kwa kuwa naishi mitaani tena uswahili haswa, watu wengi sana wa maisha ya kawaida ambao kimsingi ndio walipaswa kulalamika sana, ndio hao wanaipongeza serikali hii kwa nguvu zote.

Ndio hao wanaoonekana kuwa wako contented kabisa na serikali yetu. Ndio hao wanampongeza Rais kwa kuwa amerejesha heshima yao ambayo ilikuwa imepotea, watoto watoto wao wanasoma elimu bure, hospitali na sehemu nyingine wanathaminiwa tofauti na zamani, na huduma nyingine za jamii zimeboreka.

Sasa najiuliza hicho kikundi kidogo cha kwenye “Social Media” ni nani anayewatuma kuleta chokochoko hapa nchini, na ni kwa maslahi ya nani?
Unatafutwa na konki Master
 
Kinachokera kuhusu sisi Wabongo hujui nani analalamika kweli nani anaunga tela.
 
Upo sahihi mkuu, ipo namna ya siasa maji taka kwenye mitandao siku hizi,social medias hazitumiki kuelimisha na kuburudisha bali kutupumbaza na kupoint fingers kwa wanasiasa,lengo ni tuone serikali yetu ni mbaya
medias?
 
Kipindi hichoo, mtu punguani tulimwita bonya , sijui siku hizi wanaitwaje maana umri ushaenda.
 
Yeye ndiye kwa kinafiki anajidai serikali inasifiwa na kupongezwa, ila kiuhalisia anajua nini kinampata. Uwezekano upo hata huko mtaani hajamuuloza hata mmoja, anakuja kumwaga
uongo hapa
 
Mbona picha inayojengeka siku hizi eti CCM inapendwa na Maprofessor na ma Dr(Phd holders)?
Wanaacha taaluma zao na kujiunga nacho au kwa vile wanateuliwa na kiongozi wa chama kwa malipo na marupurupu makubwa kuliko kufundisha?
 
Siri kubwa ni kuwa hao uliowataja hawadanganyiki na mabeberu wanaowatumia. The truth side of it ni kuwa they're the ones wanaojua machungu na mazuri ya regime yoyote.... Nyie wengine mnatapatapa tu kwa kisingizio cha kuwasemea wao
Ahsante kwa kuelewa kuwa wajinga, waoga, maskini na wazee ndio wanaojua machungu na kwa maana hiyo ndio wanaichagua CCM kwa kishindo. Tunashukuru kuipenda kwao na kuichagua ndio kumetufikisha hapa tulipo... maskini wa kiwango cha juu... Kwao wao umaskini ndio maendeleo!!
 
Msemaji Wa Serikali Dr Abass Anaweza Kuwa Kwenye Nafasi Nzuri Kukujibu
 
Back
Top Bottom