Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 1,869
- 3,848
Hahaha 😂. Hakika mkuu sasa tutafanyeje.Amen Mungu atujalie mwisho mwema,
Navurugwa naona Bora kuchomwa kama wahindi naona nikizikwa mzima hv nakuwa km nafeel au kuteseka hv sijui
Ingekuwa ruhusa yangu nasema nichomws tuu wazike majivuHahaha 😂. Hakika mkuu sasa tutafanyeje.
Hata sasa unaweza ukatoa wosia na watu wakatekeleza matakwa yako.Ingekuwa ruhusa yangu nasema nichomws tuu wazike majivu
Ni ngumu hasa wachaga wanavyo penda asili yaoHata sasa unaweza ukatoa wosia na watu wakatekeleza matakwa yako.
Au badili diniNi ngumu hasa wachaga wanavyo penda asili yao
Niende wapiAu badili dini
No Uniforms no selectionSisi wa 80's kifo kimetuogopa.
No reform no election
Kwa wale wanaochoma.Niende wapi
Hahaha ni ngumu sanaKwa wale wanaochoma.
Kwa nini?Hahaha ni ngumu sana
Kuna panga flani hivi yaani limepita miezi miwili hii ni balaa. Watu wamekufa mno hapa mtaani tu misiba zaidi ya mitano imetokea.Habari? Katika harakàti zangu za kufuatilia habari mitandaoni Huwa napitia pitia mtandao wa Facebook nilichogundua vifo vingi vinatokea vya watoto wa 2000 RIP zimekuwa nyingi mno mpaka najiuliza ndio tumeingia zama mpya za kizazi Cha 2000 kupukutika au sie wa 80's tunajionea sio changamoto kwetu,au ni laana ya kizazi.
Hakuna kipindi watu waliacha kufa mkuu, ni vile upashaji habari umekua kwa kipindi hiki.Wengi ni ajali na visa vya mapenzi ndio maana mboso akaimba usela uselaaaaa🎶ila pia upashanaji habari umekuwa mkubwa sana
Nadhani Tuishie Hapa....Wako Spidii Mnoo Na Artificial Life...nidhamu hakuna na ujuaji mwingi
Selewii mzeeKwa nini?