Kasie mahaba ..hukomiii sababu uyo nisabuni ya roho mama !!.Abeeeh, sipati jibu Kasie mie kwanini sikomiii.....
Shida nnini hasaa. ..!!??
Ever Smiling Kasie.
Me nitakutafuta nikukaushe tu maji kwa katerero za nguvu hadi upatwe na kiu kali sana kama uko jangwaniHahahahahahaa looh kweli wewe ndo umenichoka kabisaaa. ... na ugagula huu maini yakifikiwa si itakuwa nimefanyiwa operation bila kupasuliwa hahahahahahahhaaa.
Ndo naanza kukoma sasa nisijekutana na hiyo ya kwwnye maini ikawa mbaya looh.
Kasie komaaaa weeeh pamoja na kujinasa vibao waaapi sikomiii...
Ever Smiling Kasie.
naona siku hizi umempata mtu anayejua Hindi languageShukria, ila sijui sasa ntakoma!!? Maana sio kwa kusemwa hivi kwenye wimbo wote wa Dai mwanzo mwisho.
Ever Smiling Kasie.
Aisee haya mahaba niue kumbe yanauaga kweli..ngoja niusikilizike huu wimbo labda na mm ntajikuta sikomi!
Kasie mahaba ..hukomiii sababu uyo nisabuni ya roho mama !!.
Me nitakutafuta nikukaushe tu maji kwa katerero za nguvu hadi upatwe na kiu kali sana kama uko jangwani
Kwakua mmiliki halali hajafika, mwite mpaka aitike atapokuja si tuutakoma Bali utaridhika. Kila Siku itakua kama ndo mmekutana Siku hiyo.
naona siku hizi umempata mtu anayejua Hindi language
Daaahh Kasie ? Hujaamua tu bana kusmileHivioo sasa kama ni sabuni ya roho mbona inakuwa hiviiii? ???? Mie natamani nikome na mahaba yawe basii.
Ila sabuni ya roho ndo najipiga masingi na vibao vya mashavu hivii huku nikiulaumu moyo kwanini niliusikiliza. ..... Acha tuu naona sabuni hii siyoo, haikuwa na povu la kutosha.
Ever Smiling Kasie.
Nitaanzaje kumkimbia Kasie matataAbeeeh, naona jana ulikimbia hehehehehee.
Ever Smiling Kasie.