Mbona sijaelewa katiba inasemaje?

Mbona sijaelewa katiba inasemaje?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Naifatilia kampeni kwa redio naona Kassim Majaliwa anaitwa Mjumbe wa NEC wa CCM.

Lakini kwenye kampeni hizo hizo Magufuli anampigia simu waziri Jaffo na kumpa maagizo.

Sasa kama Magufuli bado Rais na Jaffo bado waziri, Inakuwaje Majaliwa sio Waziri Mkuu?

Kuna shida ya kikatiba?
 
Katiba inawahusu tu vyama pinzani Basi ila CCM haiwahusu. Hii nchii ina wenyewe.
 
Boss kuna vitu vingi vinachanganya Tanzania hii.kwamfano tunaongozwa Na katiba pamoja na Sheria ,serikali inahamasisha kufata Sheria upinzani unahamasisha kufata katiba.katiba inasema ni haki kufanya sasa mda wwote,sheria ina ban kufanya siasa baada ya uchaguzi.sheria inalindwa Na police,tiss,jeshi,uhamiaji Na ofisi ya msajili wa nyama vya siasa wakati huo katiba hailindwi na mtu.
 
Ujanja ujinga kuchamba kwingi huko ccm ni Zero wamefikishwa mwisho na aliye kipora chama
 
Back
Top Bottom