streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 476
Kiukweli mi nashangazwa na hizi siasa za hapa Tanzania.Yani hata hazieleweki na wanasiasa hawaeleki kabisa.
Hapo ndipo natambua na kuelewa kuwa siasa ni mchezo wenye uchafu.Hivi kila siku wanasiasa wanahamia sijui hapa mara pale.
Sasa wananchi wawaelewe vipi? Misimamo yenu ni ipi mliosimamia kipindi mnaongea na wananchi?
Mna malengo gani na taifa letu kwa tabia zenu.?