Kuna mdau alianzisha mada kulalamikia Sahara Media. Nimegundu kuwa redio nyingi hasa zinazotangazia kutoka nje ya DSM na baadhi ya ndani hazipatikani.
Je, kuna tatizo gani maana stesheni nyingi hazipatikani?
Radio Imaan Elimu bila mipaka naipata kwa uzuri kabisaKuna mdau alianzisha mada kulalamikia Sahara Media. Nimegundu kuwa redio nyingi hasa zinazotangazia kutoka nje ya DSM na baadhi ya ndani hazipatikani.
Je, kuna tatizo gani maana stesheni nyingi hazipatikani?
Radio imani elimu bila mpaka haipatikani hapa jijini arusha toka jana.....!!!
TCRA wamefanya mabadiliko kadhaaa....hii nimeipata ITV pale walipokuwa wanautarifu umma juu ya mabadiliko kadhaa ya frequency zao za radio one/capital/east africa kwa baadhi ya mikoa ikiwamo kasoro bahari
Mkuu, mbona pana njia nyingi za kupasha habari? Mie sijasikia tangazo la TCRA kuhusiana na mabadiliko ya masafa ya radio hasa RFA nchi nzima.TCRA wamefanya mabadiliko kadhaaa....hii nimeipata ITV pale walipokuwa wanautarifu umma juu ya mabadiliko kadhaa ya frequency zao za radio one/capital/east africa kwa baadhi ya mikoa ikiwamo kasoro bahari
TCRA wamefanya mabadiliko kadhaaa....hii nimeipata ITV pale walipokuwa wanautarifu umma juu ya mabadiliko kadhaa ya frequency zao za radio one/capital/east africa kwa baadhi ya mikoa ikiwamo kasoro bahari
RFA 89.3MHz Dar es Salaam, kiss FM 98.9MHz, hapa wame exchange ilipokua kiss FM wameweka RFA, nadhani wameoona RFA isikilizwe na watu wengi kuliko kiss FM maana radio nyingi za kwenye magari hazivuki 90.0MHz.