MSOROPOGAS Member Joined Mar 7, 2012 Posts 65 Reaction score 11 Apr 8, 2016 #1 Naomba mnisaidie...Nimejisajili tcu/cas kwa ajili ya kuomba shahada ya uuguzi. lakini kwenye orodha ya vyuo sioni hata kimoja cha afya...
Naomba mnisaidie...Nimejisajili tcu/cas kwa ajili ya kuomba shahada ya uuguzi. lakini kwenye orodha ya vyuo sioni hata kimoja cha afya...
L la fiducia JF-Expert Member Joined Mar 13, 2016 Posts 212 Reaction score 169 Apr 8, 2016 #2 Walitoa tangazo watu waombe?