Mbona nimezomewa niliponunua gazeti la uhuru!

Mbona nimezomewa niliponunua gazeti la uhuru!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,098
Reaction score
10,937
Jana katika gazeti la Uhuru, kulikuwa na habari inyohusu kwa namana fulani familia ya karibu nami !(si siasa) Nilipewa taarifa hiyo baada ya kufika ofisini asubuhi !

Kwa mara ya kwanza baada ya miakatakribani 15 nikalazimika nilinunue!
Nikamtuma msaidizi wa ofisi !

Yule binti aliporudina kunikabidhihilo gzeti alinihoji ...kuwa mbona alipokuwa ananunua gazeti hilo watu walimzomeana kumshangaa sana ! linanini ,kwa nini halipendwi hivo....weweunalipendea nini!

....nikamwambaia hili gazetilinamilikiwa na Chama kinachokufaanya wewe uishi maisha magumu ! akaendeleakushangaa ...iweje mim inalisoma! nikamwambia kuna habari ya kifamila sina ujanja!

Sasa ninazidi kuamini maneno ya Prof.KABUDI !NAWAOGOPA SANA WATANGANYIKA!
 
Hilo gazeti nitalinunua labda kwa kufungia vitumbua!
 
Sijayaona long time,mara ya mwisho nilipoliona kt stand ya kuuzia lilikuwa na rangi km karatasi ya siku nyingi vile,sijui imekuwa recycled sana bila kutoa wino wa nyuma,au nini..ila nilipomuuliza mbola gazeti km la siku nyingi ila habari zinafanana na siku za karibuni au ndio kwamba nchi yenu imewekewa fikra zilezile.Jamaa akaniambia ni jipya na huwa anaweka kwa vile mtenjaji wa hapo asipolikuwa anaweza mwambia asiweke stand hapo tena.Vipi siku hizi ni masafi kidogo.
 
Hata hiyo habari ya familia yako iliyoandikwa itakuwa ya kidaku!

Just imagine wakati huu wa mchakato wa katiba na
ukitilia maanani shule nzito iliyotolewa Jana na waliokuwa wajumbe tume ya nabadiliko ya katiba.

Uhuru linapata wapi mda na nafasi ya kuandika udaku wa familia yako na ku ignore kuripoti tukio hilo kubwa la kitaifa?!

BE THE JUROR YOURSELF
 
Jana katika gazeti la Uhuru, kulikuwa na habari inyohusu kwa namana fulani familia ya karibu nami !(si siasa) Nilipewa taarifa hiyo baada ya kufika ofisini asubuhi !Kwa mara ya kwanza baada ya miakatakribani 15 nikalazimika nilinunue!
Nikamtuma msaidizi wa ofisi !Yule binti aliporudina kunikabidhihilo gzeti alinihoji ...kuwa mbona alipokuwa ananunua gazeti hilo watu walimzomeana kumshangaa sana ! linanini ,kwa nini halipendwi hivo....weweunalipendea nini! ....nikamwambaia hili gazetilinamilikiwa na Chama kinachokufaanya wewe uishi maisha magumu ! akaendeleakushangaa ...iweje mim inalisoma! nikamwambia kuna habari ya kifamila sina ujanja!
Sasa ninazidi kuamini maneno ya Prof.KABUDI !NAWAOGOPA SANA WATANGANYIKA!

Sasa si unge ghairi ukanunua TANZANIA DAIMA!
 
Hilo gazeti nitalinunua labda kwa kufungia vitumbua!

Mimi hata kwa kufungia vitumbua siwezi kulinunua,TBC,na sasa hivi star tv,baada ya kuhama Yahya Mohammed ni hovyo kabisa
 
Hata hiyo habari ya familia yako iliyoandikwa itakuwa ya kidaku!

Just imagine wakati huu wa mchakato wa katiba na
ukitilia maanani shule nzito iliyotolewa Jana na waliokuwa wajumbe tume ya nabadiliko ya katiba.

Uhuru linapata wapi mda na nafasi ya kuandika udaku wa familia yako na ku ignore kuripoti tukio hilo kubwa la kitaifa?!

BE THE JUROR YOURSELF
Hapana mkuu hiyo habari haikuwa ya kidaku ilkuwa imeripoti tukio ...na infact habari ndogo2 za ndani huwa hazibebi sana maudhui na sera za uhariri za Gazeti ...na zinz fanana magazeti yote mafano, Matukio kama ajali ,vifo ,picha za matukioya huzuni na firaha na mengiyekama hayo
 
Kama wizara ya Habari ingekuwa fair, gazeti hilo, pamoja na Jambo leo na Tazama, yangekuwa yeshakula life ban, siku nyingi.

Lakini cha ajabu, watawala wetu, walilifungia, gazeti no 1 nchini, kwa investigative reporting, la ----------- na hayo magazeti, ambayo wakati wote, huwa yanaandika habari za udaku na uchochezi, wakiyaacha yanapeta!

Hata hivyo, hakuna utawala duniani, uliowahi kudumu milele, na kutokana na vituko vinavyofanywa na CCM hivi sasa, hasa hasa namna wanavyouendesha mchakato wa katiba, kule kwenye bunge la katiba, ni dhahiri kwa sasa, siku za magamba kuendelea kubaki madarakani, na siku ambayo magamba wataondoka madarakani na ndiyo siku hiyo hiyo, tutalizika rasmi gazeti la uhuru, kwa kuwa gazeti hilo, halijiendeshi kibiashara, kwa maana ya kununuliwa na wapenzi wa gazeti hilo, bali gazeti hilo la propaganda, linaendeshwa kwa pesa za ruzuku za chama cha magamba.
 
...hao wananchi walikasirika kwakuwa ulinunua toilet paper,kwao ni ishara ya kuwa dharau live...
 
We chizi kweli saa kumi umenunua gazeti la uhuru umelitoa wapi au nyie bawacha wachawi mnafanya kazi usiku.
 
Kama wizara ya Habari ingekuwa fair, gazeti hilo, pamoja na Jambo leo na Tazama, yangekuwa yeshakula life ban, siku nyingi.

Lakini cha ajabu, watawala wetu, walilifungia, gazeti no 1 nchini, kwa investigative reporting, la ----------- na hayo magazeti, ambayo wakati wote, huwa yanaandika habari za udaku na uchochezi, wakiyaacha yanapeta!

Hata hivyo, hakuna utawala duniani, uliowahi kudumu milele, na kutokana na vituko vinavyofanywa na CCM hivi sasa, hasa hasa namna wanavyouendesha mchakato wa katiba, kule kwenye bunge la katiba, ni dhahiri kwa sasa, siku za magamba kuendelea kubaki madarakani, na siku ambayo magamba wataondoka madarakani na ndiyo siku hiyo hiyo, tutalizika rasmi gazeti la uhuru, kwa kuwa gazeti hilo, halijiendeshi kibiashara, kwa maana ya kununuliwa na wapenzi wa gazeti hilo, bali gazeti hilo la propaganda, linaendeshwa kwa pesa za ruzuku za chama cha magamba.
Hivi mnaoshabikia mada kama hii mnaakili kweli gazeti gani linauzwi saa kumi usiku hamuoni kuwa hamna akili nyie.
 
Mimi ntanunua nifungie kondom nilizotumia kabla ya kwenda kuzitupa dampo
 
Hivi mnaoshabikia mada kama hii mnaakili kweli gazeti gani linauzwi saa kumi usiku hamuoni kuwa hamna akili nyie.

Utakuwa umevuta yale majani ukichanganya na kinyesi cha dog wangu jina lake linafanana na chama cha kijani kibichi
 
Back
Top Bottom