Mbona Mwisho wa Dunia Bado!

Dickson Ng'hily

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
473
Reaction score
507
Nilisoma Bango moja pale Ubungo Bus Terminal lililokuwa linasomeka kuwa Mwisho wa Dunia ni tarehe 21/05/2011...Sasa kinachonishangaza ni kuwa already tuko 21/05/2011 na mwisho wa dunia haujaonekana...Au wenzangu mshauona?Au niko mwenyewe duniani?......
 
Aaaah mimi nimesubiri weeeee, but wea. Ngoja nimalizie kaboa kangu haka nilale
 
Bado Amerika ucku haujaingia, subirini kidogo wapendwa malaika ndio wanajiandaa kuja.
 
nyie hamjasikia, watu wasio na mawaa wameshanyakuliwa tumebaki wenye dhambi tu.

Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe...Hahahahahaha...hahahahahaha....hahahahahaha...kwikwikwikwikwikwikwikwi...mama yangu weeeeeee...Lol...itnojet umenifurahisha sana..eti watu wasio na mawaa washachukuliwa....hahahahaha hahahahaha hahahahah ahahahahah...So tumebaki wenye midhambi...kwikwikwikwikwikwikwikwikwi...
 
Nimelala nimefunga jicho moja tu. Hapa nikisikia kishindo chochote nashtuka. Hivi parapanda inaliaje?
 

Saa 12 jioni. We subiri tu
 
Mimi nimeshanyakuliwa, nimeungana na wenzangu (wachache sana) tunaelekea mbinguni, bahati nzuri nilifanikiwa kuficha simu yangu wakati wa ukaguzi, hivyo nitakuwa nawajulisha yatakayokuwa yanajiri...
 
Mimi nimeshanyakuliwa, nimeungana na wenzangu (wachache sana) tunaelekea mbinguni, bahati nzuri nilifanikiwa kuficha simu yangu wakati wa ukaguzi, hivyo nitakuwa nawajulisha yatakayokuwa yanajiri...
TANMO acha uongo, mda bado
US preacher warns end of the world is nigh: 21 May, around 6pm, to be precise
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…