johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Kwani hao wabunge walipigiwa kura na Chadema/ Cuf pekee?!!Hapa kinachotafutwa ni chadema na cuf ya maalim seif
Kama Lowassa vile!Mrema yupo CCM kitambo
Lakini pale Ikulu kila shughuli yupo!Nashangaa hata Dovutwa hajiungi na ccm.
Najiuliza tu, mbona mwenyekiti wa TLP Augustine Lyatonga Mrema alianza kumuunga mkono mstaafu Kikwete na sasa anamuunga mkono Rais Magufuli lakini akiwa huko huko TLP. Sasa iweje hawa wanasiasa vijana tena wengine wageni tu siasani wasijifunze kwa Mrema na badala yake wanalitia taifa hasara kwa kurudia uchaguzi?!!! Ni wakati sasa wa CCM kuwa macho isijekuwa hawa jamaa wana ajenda ya siri. Ni hayo tu!
Kuiunga mkono CCM ni sawa na kumuunga mkono shetani.Kama Lowassa vile!
Mbona Mrema hawajamtaka ahame!Wangefanya hivyo pia mngewaita Wasaliti na kuwataka wahame!
Mfano Sugu, Lema na Msigwa wao kazi yao kupinga tu!Ni tafsiri mbovu tu ya neno "upinzani" linalotumiwa na CDM ndiyo maana , unaona na kushangaa kuwa hao wengine wako na mubashara kabisa na Rais na wakati uo huo wanamkubali Rais na serikali yake pale inapofanya mambo mazuri.
Ni kama Zito ZK , nawe huwa anakubali mambo ya rais wakati mwingine anapinga kwa hoja (baadhi ya mambo ZKK huwa na hoja na akapinga) na siyo mara zote anakuwa anapinga kila kitu.
Huo ndiyo upinzani duniani kote tatizo Africa hasa Tanzania wapinzani wanadhania kuwa wao sasa kazi yao ni kupinga kila jambo.
Hiyo inakuwa , siyo maana na tafsiri sahihi ya siasa za vyama vingi na upinzani bali inakuwa ni fujo.
Mrema ni mwenyekiti anaamua anavyotaka lkn chadema kuna mwenye nyumba,mpangaji lazima afuate mashart ya mwenye nyumba la sivyo atafukuzwa mchana kweupe, ili uwe salama lazima uhame kwanza.Najiuliza tu, mbona mwenyekiti wa TLP Augustine Lyatonga Mrema alianza kumuunga mkono mstaafu Kikwete na sasa anamuunga mkono Rais Magufuli lakini akiwa huko huko TLP. Sasa iweje hawa wanasiasa vijana tena wengine wageni tu siasani wasijifunze kwa Mrema na badala yake wanalitia taifa hasara kwa kurudia uchaguzi?!!! Ni wakati sasa wa CCM kuwa macho isijekuwa hawa jamaa wana ajenda ya siri. Ni hayo tu!
Hivyo vyama ni vya kufuta kabisa!Baadhi ya vyama vimepiga marufuku wafuasi kumuunga mkono rais ama kutambua jema lolote la serikali yake hadharani.
Sasa wanalitia hasara taifa!Mrema ni mwenyekiti anaamua anavyotaka lkn chadema kuna mwenye nyumba,mpangaji lazima afuate mashart ya mwenye nyumba la sivyo atafukuzwa mchana kweupe, ili uwe salama lazima uhame kwanza.