ehee kumbe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 267
- 155
Simu ya aina gani mkuu hiyo?.
Labda kwa kuwa ni mgeni humu kwenye hili jamvi,hata mimi limenikumba hilo .
JF Ni ya wote usijali mkuu..wadau watakuja kumwaga madini usijali..ila ungeanza kuweka wazi tatizo lilianzaje..
Simu yangu ni TECNO H5
Hapa jf mimi ni member zaidi ya miaka miwili,Lakini nabaguliwa na member wenzangu
mkuu reboot hyo simu yako itakuwa poa
Nimefanya lakini badoPole.
Remove account yako ya Google. Afu weka auto sync off, Then cheki tena kama contacts zinajifanyia updating.
Nimefanya lakini bado
Nimerudi tena tangu wiki iliyopita niliomba msaada lakini naona mmenichunia hakuna hata mmoja aliye nisaidia tofauti na wengine wakiomba msaada wanasaidiwa
Narudi naomba nisaidieni ni wiki moja simu yangu imegoma kuonyesha majina inaandika contact updating..
Kwenye SMS inaandika SMS loading conversation.
Ni wiki sasa nashindwa kupiga simu wala kusoma SMS,maana majina na SMS hazionekani.naomba msaada nifanyeje ili owe sawa

Aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea.Labda kwa kuwa ni mgeni humu kwenye hili jamvi,hata mimi limenikumba hilo .
Inawezekana maana kuna cku ili connect kwenye pcTecno H5 ni magumash sana...yani ukiconnect tu kwny PC kupitia USB ndo tatizo hlo mara nyingi hutoke
Nisimame tu mafundi waje wachukue hivi umesema haya ukiwa umelewa ,acha utahila mwenzio naomba msaada wewe unaleta utani,isitoshe nimefatilia michango yako mingi hapa jf ni kwenye jukwaa la mapenzi Kwa wazinzi,ndo maana akili zako zinatoa ushauri wa kijingaKasimame Pale Manzese au Magomeni Usalama au Mwenge Sheli Ya Puma Kisha Mafundi Wenyewe Wenye Kuweza Kutengeneza Wataichukua.