Mr Makunduchi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 995
- 492
Kama hawasimami kupakia abiria unabonyeza wapi?kuna kidude chekundu hata karibu na mlango pia kipo.ukiona anapitiliza we kituo chako ni next simama bonyeza kile kidude kwa nguvu
[emoji23] [emoji23] unamwonyesha alama ya hivi[emoji106] [emoji106] alati anakujaKama hawasimami kupakia abiria unabonyeza wapi?
May Allah bless Me and You
Wale madereva wana mambo ya kuudh sana[emoji23] [emoji23] unamwonyesha alama ya hivi[emoji106] [emoji106] alati anakuja
poleniWale madereva wana mambo ya kuudh sana
May Allah bless Me and You
hahahahaha my ribsKama hawasimami kupakia abiria unabonyeza wapi?
May Allah bless Me and You
Shida ni kwamba hakuna supervision,hakuna monitoring hakuna evaluation.Hakuna wa kupokea na kufanyia kaz maoni ya watumiaji,hilo ni kosa alofanya dereva,ila hakuna Rapid response na abiria hawajui wamwambie nani?Kusema kweli wana tabia ya uhuni sana hawa madereva. Nilipanda basi posta ya zamani majira ya saa kumi dereva akawa anasema watu wasogee mlangoni lakini kwa kuwa basi lilikuwa limejaza sana kukawa hakuna nafasi ya kusogea alisema kama hamsogei sisimami. Nakumbuka kituo chake alichosimama ni ubongo terminal. Watu walipiga kelele kuanzia kisutu ashushe lakini alikataa. Ikabidi abiria warudi na basi jingine kutoka ubungo kwenda walipokuwa wanashukia. Ni upuuzi mkubwa sana aliufanya huyu dereva. Na alikuwa anasema kabisa nawashusha kimara mkome. Ndio maadili ya kazi yake kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaha my ribs
Aiseeeee!!! Humo ndan mlikuaKusema kweli wana tabia ya uhuni sana hawa madereva. Nilipanda basi posta ya zamani majira ya saa kumi dereva akawa anasema watu wasogee mlangoni lakini kwa kuwa basi lilikuwa limejaza sana kukawa hakuna nafasi ya kusogea alisema kama hamsogei sisimami. Nakumbuka kituo chake alichosimama ni ubongo terminal. Watu walipiga kelele kuanzia kisutu ashushe lakini alikataa. Ikabidi abiria warudi na basi jingine kutoka ubungo kwenda walipokuwa wanashukia. Ni upuuzi mkubwa sana aliufanya huyu dereva. Na alikuwa anasema kabisa nawashusha kimara mkome. Ndio maadili ya kazi yake kweli?
Kweli kabisa. Wengi wetu tulipoteza muda sana kupitishwa kwenye vituo tulivyopaswa kushuka. Na hakuna pa kupeleka malalamikoShida ni kwamba hakuna supervision,hakuna monitoring hakuna evaluation.Hakuna wa kupokea na kufanyia kaz maoni ya watumiaji,hilo ni kosa alofanya dereva,ila hakuna Rapid response na abiria hawajui wamwambie nani?
May Allah bless Me and You
Kwanini hamkumchapa makofi?sasa mkiitwa wapumbavu na malofa mnaenda kwenye haki za binadamu kulalamika.Kusema kweli wana tabia ya uhuni sana hawa madereva. Nilipanda basi posta ya zamani majira ya saa kumi dereva akawa anasema watu wasogee mlangoni lakini kwa kuwa basi lilikuwa limejaza sana kukawa hakuna nafasi ya kusogea alisema kama hamsogei sisimami. Nakumbuka kituo chake alichosimama ni ubongo terminal. Watu walipiga kelele kuanzia kisutu ashushe lakini alikataa. Ikabidi abiria warudi na basi jingine kutoka ubungo kwenda walipokuwa wanashukia. Ni upuuzi mkubwa sana aliufanya huyu dereva. Na alikuwa anasema kabisa nawashusha kimara mkome. Ndio maadili ya kazi yake kweli?
Ulichosema ni sahihi. Wanaume wa dar ni waoga saaaaaaaaana. Watu zaidi ya 30 tulipelekeshwa na kamtu kamoja ambacho unaweza kukakunjurua hadi kaarishe tukashindwaAiseeeee!!! Humo ndan mlikua
Waoga,wote yan
Ilifaa wanaume mshuke
Mkamtoe huyo dereva na
Dirishan mumshushe hapo
Na kipigo cha,mbwa mwiz
Wanaume wa dar hata n haki
Yenu mkawakimbia
Panya road
Triple A
Kweli kabisa ni wapumbavuKwanini hamkumchapa makofi?sasa mkiitwa wapumbavu na malofa mnaenda kwenye haki za binadamu kulalamika.
Regards
Mukulu binadam
Zile namba hazipatikani,yaani ule usafiri ndugu yangu ni kero,nshawah pitilizishwa dereva anasimama kituon sekujde kadhaa while bas limejaaKweli kabisa. Wengi wetu tulipoteza muda sana kupitishwa kwenye vituo tulivyopaswa kushuka. Na hakuna pa kupeleka malalamiko