golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Inawezekana hupati labda unaonekana sio mume aliye tayari kwa majukumu. Wadada kibao wanatafuta ndoa, Iweje ukose?
yawezekana UKAWA hauna sifa za kuwa mume
yawezekana ukawa hauna sifa za kuwa mume
Nipo hapa
Ucjali kama mwenyezi Mungu amepanga tuwe pamoja nina imani kila kitu kitakuwa salama na atatuongoza kwa kila jambo la heri
Nimejaribu maeneo ninayotoka na maeneo niliyo kwa sasa.Kusema kweli bado cjabahatika kumpata mwenza wangu.Kwa nature ya kazi yangu kwa sasa inakuwa ni vigumu kwani muda mwingi nakuwa kaziniUnatafutaje? Wapi unakotafuta?
Mkuu najiamini, nina sifa za kuwa mume wa mtu.Mke wangu atafurahi kuwa na mume bora kama mimi.Namshukuru mwenyezi Mungu najielewa nini nifanye kwa ajili ya mke wangu na familia yangu kwa ujumla.
Mkuu hapo cjakuelewa ndugu.Huo u golden pride umefanyaje tena.labda ni u golden pride
Sio kweli.Mkuu najiamini, nina sifa za kuwa mume wa mtu......
Sio kweli.
Manake umeshashindwa kuwaona dada zetu wazuri wake bora kabisa wamejaa tele na ukathubutu kupeleka posa kwao.
Inawezekana umekosa ujanja.
Kwa ushauri muombe mzazi au kaka au dada au jamaa wa karibu unaemuamini akushauri na kukupa jicho la ziada. Utawaona tu wako wengi sana.