Mbona mimi huwa sigombani nae

Mbona mimi huwa sigombani nae

mamamzungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2019
Posts
2,650
Reaction score
4,481
Wakuu..

Hivi inakuaje kwenye mahusiano watu mnagombana kila siku mpk mnatishiana kuachana

Nimeona nyuzi nyingi watu wanalalamika wamegombana na wapenzi wao

Huwa najiuliza mbona mimi sijawah kugombana hata na ex zangu yaani ugomvi ule seriously mpk mnablockiana sijui mnaambiana tuachane inakuwa ni nini labda haswa

Sisemi kuwa hatupishani tunapishana ila sio kufikia huko kununiana wiki siku 3 au kupigana kabisaa au kublockiana na kutukanana namaanisha yale mapenzi ya drama drama mara umefumania sms mimi mbona hayajawai kunikuta

Wakuu hivi ni kweli itakuwa tunapendana na mpnz wangu mbona hivyo vituko havipo na sijawah kuviona tangu nianze kuhusiana
 
Vyuo vinafungua lini kwani!


Kwenye ndoa anaeamua ugomvi uwepo au amani iwepo ni mwanamke. Mwanaume hata Kama ukikasirika mwanamke akiamua unafurahi mwenyewe. Mwanamke akiamua ugomvi uwepo utakuwepo TU yaani atatafuta sababu mpaka apate. Ukikuta ndoa imetulia ujue mwanamke ameamua kupotezea na kujishusha.
 
Wakuu..

Hivi inakuaje kwenye mahusiano watu mnagombana kila siku mpk mnatishiana kuachana

Nimeona nyuzi nyingi watu wanalalamika wamegombana na wapenzi wao

Huwa najiuliza mbona mimi sijawah kugombana hata na ex zangu yaani ugomvi ule seriously mpk mnablockiana sijui mnaambiana tuachane inakuwa ni nini labda haswa

Sisemi kuwa hatupishani tunapishana ila sio kufikia huko kununiana wiki siku 3 au kupigana kabisaa au kublockiana na kutukanana namaanisha yale mapenzi ya drama drama mara umefumania sms mimi mbona hayajawai kunikuta

Wakuu hivi ni kweli itakuwa tunapendana na mpnz wangu mbona hivyo vituko havipo na sijawah kuviona tangu nianze kuhusiana

Ili mgombane lazima kuwe na gap kubwa la mfanano.
Labda 80 Kwa 20 hapo mtagombana
 
Wakuu..

Hivi inakuaje kwenye mahusiano watu mnagombana kila siku mpk mnatishiana kuachana

Nimeona nyuzi nyingi watu wanalalamika wamegombana na wapenzi wao

Huwa najiuliza mbona mimi sijawah kugombana hata na ex zangu yaani ugomvi ule seriously mpk mnablockiana sijui mnaambiana tuachane inakuwa ni nini labda haswa

Sisemi kuwa hatupishani tunapishana ila sio kufikia huko kununiana wiki siku 3 au kupigana kabisaa au kublockiana na kutukanana namaanisha yale mapenzi ya drama drama mara umefumania sms mimi mbona hayajawai kunikuta

Wakuu hivi ni kweli itakuwa tunapendana na mpnz wangu mbona hivyo vituko havipo na sijawah kuviona tangu nianze kuhusiana
hapo utasikia wanasema sio mapenzi yadhati ukweli ni kulingana na the way mnavyoishi na huyo mpenzi wako either mko mbali au mnakuwa busy na mambo mengne maana hata ukaribu yale mazoea na ujobless vinachangia sana ngoja wenye wapenzi waje wakupe maelezo zaidi me sina [emoji4]
 
Ni kwakuwa mmoja kati yenu kajifanya mjinga...

Tena itakuwa wewe...

Sijakutukana ila

[emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa maana sio mtu wa kujali nilimbiwa hivyo sipogo serius
 
hapo utasikia wanasema sio mapenzi yadhati ukweli ni kulingana na the way mnavyoishi na huyo mpenzi wako either mko mbali au mnakuwa busy na mambo mengne maana hata ukaribu yale mazoea na ujobless vinachangia sana ngoja wenye wapenzi waje wakupe maelezo zaidi me sina [emoji4]

We huna kwanini[emoji23][emoji23]
 
Wakuu..

Hivi inakuaje kwenye mahusiano watu mnagombana kila siku mpk mnatishiana kuachana

Nimeona nyuzi nyingi watu wanalalamika wamegombana na wapenzi wao

Huwa najiuliza mbona mimi sijawah kugombana hata na ex zangu yaani ugomvi ule seriously mpk mnablockiana sijui mnaambiana tuachane inakuwa ni nini labda haswa

Sisemi kuwa hatupishani tunapishana ila sio kufikia huko kununiana wiki siku 3 au kupigana kabisaa au kublockiana na kutukanana namaanisha yale mapenzi ya drama drama mara umefumania sms mimi mbona hayajawai kunikuta

Wakuu hivi ni kweli itakuwa tunapendana na mpnz wangu mbona hivyo vituko havipo na sijawah kuviona tangu nianze kuhusiana
Mpka vyuo vifunguliwe utakua umerudi sawa
 
Kwa uzoefu wangu mdogo wa ndoa utakuwa wew unajishusha sana ndio mana ndoa yako ina amani kinyume na hapo lazima kingeumana sana huko ndani
 
Back
Top Bottom