Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,453
Hawa watoto wa mama mkwe hawafai naonaga pengine sikuumbiwa kuwa nae ndo maana nilijiweka pembeniWe huna kwanini[emoji23][emoji23]
Hawa watoto wa mama mkwe hawafai naonaga pengine sikuumbiwa kuwa nae ndo maana nilijiweka pembeniWe huna kwanini[emoji23][emoji23]
Ana mda gani kwenye hayo mapenzi???yaani madogo akikaa kwenye mahusiano mwezi mmoja anathema hatugombani,,,ivi unaweza kaa miaka kumi bila kugombanahapo utasikia wanasema sio mapenzi yadhati ukweli ni kulingana na the way mnavyoishi na huyo mpenzi wako either mko mbali au mnakuwa busy na mambo mengne maana hata ukaribu yale mazoea na ujobless vinachangia sana ngoja wenye wapenzi waje wakupe maelezo zaidi me sina [emoji4]
😀😀 Miaka 10 kwa vijana wa sasa utasikia wanasema hio ni research au, unajua bhn tofaut na muda watu waliokaa kwenye mapenzi lakin pia umbali pengne unaweza changia kupunguza ugomvi mfano unaweza kuwa na mpenzi mko pengine mkoa mmoja wilaya tofaut au mko hata mikoa tofaut kwa ishu iliyoko nje ya uwezo wenu kwahyo pale mtakuwa mnawasiliana vizur tu maana wanasema mahusiano ni mawasiliano ila kwenye kuwasiliana huko haujui mwenzako baada ya mawasiliano jambo gan litaendelea bila kujua baada ya either kumpigia normal call au vid call ana appointment na mpenzi wake huko aliko 😀 Ila mkishakuwa karibu lazima yale madudu yaonekane hata kama ni indirect but mwisho wa siku mtajua tu kuwa mnacheatiana ndo ugomvi unaanzia hapo 😀 Sorry kwa gazetiAna mda gani kwenye hayo mapenzi???yaani madogo akikaa kwenye mahusiano mwezi mmoja anathema hatugombani,,,ivi unaweza kaa miaka kumi bila kugombana
Tunachangamsha jamvi mkuu,,,ila ndo maana nikasema dogo anathema hatugombani lakini kiuharisia huwezi ishi namtu mzima mwenzio miaka mitano hamjaparuana hata kidogo,,,so anaposema hatugombani atupe mazingira yake kwanza😀😀 Miaka 10 kwa vijana wa sasa utasikia wanasema hio ni research au, unajua bhn tofaut na muda watu waliokaa kwenye mapenzi lakin pia umbali pengne unaweza changia kupunguza ugomvi mfano unaweza kuwa na mpenzi mko pengine mkoa mmoja wilaya tofaut au mko hata mikoa tofaut kwa ishu iliyoko nje ya uwezo wenu kwahyo pale mtakuwa mnawasiliana vizur tu maana wanasema mahusiano ni mawasiliano ila kwenye kuwasiliana huko haujui mwenzako baada ya mawasiliano jambo gan litaendelea bila kujua baada ya either kumpigia normal call au vid call ana appointment na mpenzi wake huko aliko 😀 Ila mkishakuwa karibu lazima yale madudu yaonekane hata kama ni indirect but mwisho wa siku mtajua tu kuwa mnacheatiana ndo ugomvi unaanzia hapo 😀 Sorry kwa gazeti
Nawasilisha
Dini ipi, muislamu, mkatoliki au kkkt🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]siamini hizo mkuu mimi mtu wa dini