TRA mwanzoni walikuwa na utaratibu mzuri tu wakusomea mapato ya kila mwezi lakin sikuhizi hawafanyi mbwebwe kama hizo. Sijui tatizo nini ndugu hebu tufamishane kwa wale wanaojua sababu.
Mwezi huu wa tatu watakusanya 1.3 trillion.. Hii n sawa na ongezeko ka asilimia 200 ukilinganisha na miezi iliyopita..hii ni kusema tumevuka lengo maradufu..WTF n simple hivyo
TRA mwanzoni walikuwa na utaratibu mzuri tu wakusomea mapato ya kila mwezi lakin sikuhizi hawafanyi mbwebwe kama hizo. Sijui tatizo nini ndugu hebu tufamishane kwa wale wanaojua sababu.
Ili makusanyo yafikie malengo, wameamua kutaifisha kontena zaidi ya mia mbili za mchanga ili wazipige mnada kinguvu... Nchi hii ni ya kisanii sana. Yani ni bora ng'ombe akamuliwe hata damu kama hatoi maziwa...
TRA mwanzoni walikuwa na utaratibu mzuri tu wakusomea mapato ya kila mwezi lakin sikuhizi hawafanyi mbwebwe kama hizo. Sijui tatizo nini ndugu hebu tufamishane kwa wale wanaojua sababu.
Wewe hutaki kujishuhulisha tu. Nenda kwenye website ya benki kuu. Kuna taarifa ya kila mwezi. Unapata kila kitu ndugu yangu. Makadirio, mapato na matumizi ikiwemo vyanzo vyote vikubwa vya kodi. Utaangalia pia na wale waliosema kodi itapunguza watalii-unaweza kuwapigia simu kuwauliza kuna nini tena; mbona imekuwa hivyo. Wanakuwekea mpaka ya Zanzibar. Hii inaitwa efficiency; tunaondoa process ambazo hazibadilishi matokeo. Haikuwa na haja ya TRA kukaa,kuprocess na kutangaza na wakati huo huo benki kuu wanakaa, wanaprocess na wao wanatangaza.
Basi waambie wale wotewenye uwezo kama were wa kuweza kuingia JF waingie website ya BOT