Mbona makamba ametulia kiasi hicho.

Mbona makamba ametulia kiasi hicho.

RICHMAHOO

Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
49
Reaction score
14
Washikaji wapi makamba mbona asikiki? au kamuachia mwanae januari makamba aropoke kwa niaba yake. wana jf naomba mtujuze alipo huyu popo bawa.
 
inaonekana kapewa onyo asiwe anaongea ovyo ovyo na muda wake unaisha so anajifanya mlokole ili aongezewe ulaji.
 
nimeshangaa sana kuona katibu mkuu wa ccm kukaa kimya kihivyo hivi amzima kweli au anaumwa?
 
hana hoja-hana jipya-ngoja azidi kukaa kimya
 
Back
Top Bottom