zyogo
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 377
- 282
Hivo karibuni tumesikia juu raisi wa China Ndugu Xi kuongezewa muda wa kukaka madarakani.Kwa muda sasa tumeshuhudia kila viongozi wa kiafrika wakithubutu japo kuwaza tu kelele tele tunasikia.Kulikon ya China mbona kimya.Hao jumuiya ya kimataifa wanatakaga nini?
