mr vata
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 465
- 616
Mbona kama wanaheshimiwa? Huu ndio utaratibu wa kukamata wahalifu? Unamwambia mtu ambae unamtuhumu aje police baada ya siku 3.
Hivi tuhuma 'hizi' na zile za kuiba simu ambapo huwa tunaona watuhumiwa wake wamepigwa pingu zipi kubwa. Ni nani ambae anaweza kubaki na kidhibiti ndani hata baada ya kutaarifiwa kuwa anatakiwa pilisi baada ya siku tatu ili akahojiwe kwa tuhuma zile?
Hapo ninawaza kimya kimya. Bila shaka huu si uchochezi.